Witness Mathew
Member
- Jun 8, 2018
- 65
- 25
acha nipite wengine sio wanasiasaMnawaiga "Mabeberu" uongo???
acha nipite wengine sio wanasiasaMnawaiga "Mabeberu" uongo???
duuuhAcha ujinga kwaiyo kwa sababu kafa flyover ndo haitajegwa? Kwani alikua anatoa msaada? We unajua maana dira ya nchi kwa miaka 20 ijayo?
Nawe kiongozi wako wewe haupo kwenye wanyongeMnakwama wapi wanyonge changishaneni mjengeeni sanamu kiongozi wenu wa wanyonge mbona simple tu.
Vizuri wazalendo kama nyinyi ndio tunawahitajiAlifanya yote hayo ili akuze uchumi na tumefika uchumi wa kati huoni raha maana tungechelewa sana kuufikia
Naunga mkono hoja
Kuwa mzalendo weweSasa hivi kalala peke yake mbwembwe kwishney Mungu fundi jamani hapa ndio unaona faida ya kifo imagine tungekuwa hatufi huyu mtu angeumiza wangapi na walishaanza kumuimbia upuuzi wao wa mitano Tena na kutawala milele pumbavu kabisa.
Yeye kafanya zaidi ukumbuke hiloHili ndilo neno kila mtu anayehitaji alijenge sanamu na aliweke nyumbani kwake.
Tupo awamu ya 6, mama kishateua baraza huko, aliyekwenda ameshakwenda. Maisha yaendelee..
Ukitaka public holiday ya mwendazake basi nimetoa wazo uamuliwe mwezi mmoja uwe wa kuwaenzi maraisi wote wa nchi hii bara na visiwani.. Huo mwezi tuwe tu likizo nchi nzima, kuenzi viongozi.
Everyday is Saturday...............................
Ukisoma ndio utajua akili za watanzania hawa wa mitandaoniUkisoma comments njaa inaisha..
Yepi zaidi?? Muache hizi mambo za kuaminisha watu, maendeleo ni fadhila hisani na siyo wajibu.Yeye kafanya zaidi ukumbuke hilo
Huna uzalendo weweChonga ukaweke nyumbani kwako
Mimi sio mnyonge sijawahi kua mnyonge na sitawahi kua mnyongeNawe kiongozi wako wewe haupo kwenye wanyonge
Kwani zimetimiaHizo siku 21 hazitoshi jamen ? Mnatuboa sasa mxieew
Mzalendo kwa taifa sawa lakini sio kwa huyo mwendazake alietutesa.Kuwa mzalendo wewe
We jamaa umenichekesha aiseHilo sanamu labda mlilinde vinginevyo litabomolewa.