Mbunge wa jimbo la Ubungo na jimbo la Kawe ni wachumba?

WACHUMBA NDIO KWELI KABISA LAKINI WAMESHAOLEWA.NA CHAMA CHAO,SI WALIKUWA WANAOMBA KUWATUMIKIA WANANCHI TUMEWAPA KIBARUA WATUTUMIKIE,,,,,,...........SI NI MABWANA ZAO SASA,.............UNA JIPYA Mamaaaa ....:doh:
 
Habari za j2 wana jf, kama mjuavyo vuguvugu la siasa za uchaguzi bado linaendelea, ktk pitapita nimekutana na mjadala kuwa mnyika na halima mdee ni wachumba. Naomba mwenye habari atujuze. Nawasilisha.

BIG NO, na hat aingekuwa YES kwani ina-HUU??
 
Mkuu umekosa kazi kama erick shigonga unaanza kufuatilia fulani anampenzi fulani ili ikusaidie nini, after all, they are all singles. Halima na John kula raha mkinogewa funga ndoa
 
wewe acha uzoba! ya kwako yamekushinda sasa unaanza kufuatilia ya watu utasutwa!.............huna kazi nini? au unafanya kazu saloon.
 
Yaweza kuwa kweli au siyo kweli, atakaye kuthibitishia kwamba ni kweli au si kweli nadhani atakuwa anatabia kama zako.:hungry:
 
Mmewekewa forum ya ku discuss issues. Huu umbea au tetesi kama unavyoziita mpelekee Shigongo na atakulipa kama anavyowalipa reporters wake.
 
Nimesikia pia Steven Wa-hasira vs Anne Ma-kinda wana-share kiota cha wapendanao!
 
Sio wachumba bali wanapenda na wana tiiana sana. Ni viongozi wa mfano wa kuigwa
 
We fuatilia mambo yako ndo nyie mnao2sumbua street kazi kfuatilia ya wenzenu .
 
Back
Top Bottom