Mbunge wa Chadema yuko India kwa matibabu

tunaweza kufananisha msafara wa kwenda india kama ilivokuwa kwenda kwa babu loliondo!!
 
Ee MUNGU mponye mpambanaji na mkombozi wetu. Kwani ndiye aliyetufanya Igunga tushinde japo magamba walijichukulia maamuzi ila ni kwa muda tu, 2015 walie tu
 
Back
Top Bottom