Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,593
Afadhali mama umetuwakilisha kwa vazi la kitaifa kulikono huyo sembwe JK ambaye anakubali kuuza nchi yake kwa SUTI.
wajumbe kutoka tanzania ambao wengi ni kutoka ccm, kama kawaida yao wako mitaani wanazurura, viti viko vyeupeeeeeeee,
Mtafute umuulize.naomba kujua alichosema......
Wanigeria wanavaa maguo yao lakini kazi wanafanya sio kuonyesha fashion show. Ndio maana watu wengine wanawadharau nyie kazi yenu kutwa maandamano tu na akili za zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe. Tueleze Susan Lyimo ameisaidia nini Tanzania katika mkutano huo sio kukaa mkisifiana magwanda ujinga huo ushapitwa na wakati.
Wanigeria wanavaa maguo yao lakini kazi wanafanya sio kuonyesha fashion show. Ndio maana watu wengine wanawadharau nyie kazi yenu kutwa maandamano tu na akili za zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe. Tueleze Susan Lyimo ameisaidia nini Tanzania katika mkutano huo sio kukaa mkisifiana magwanda ujinga huo ushapitwa na wakati.
Masaburi mwengine huyu,
Wewe unadhani kwenda kuonyesha fashion show ndio sifa? Mwangalieni Zitto akienda mambo anayoyafanya kajifunzeni kwake mjue. Dunia ya sasa si ya kutalii ni kukimbia muda wa kushangaa umeisha. Bora mie nitakayeleta mwekezaji kwani atatoa kazi, umeme utapatikana, maisha yataboreka kodi itaongezeka kuliko mtalii wenu anaenda kushangaa majengo, kodi inatumika bure, akija hapa kutwa maandamano na kelele nyingi hakuna kitu serikali inaingiza wajinga Tanzania wapo wengi loh!!!
Mi sijaona wawekaji au wawawekezaji tangu wameanza kuingia hapa kwe2 sijaona tunzania ye2 inafaidika zaidi ya wao.Kwahiyo wanawekeza au wana2wekeza.Ni nashauri wawekeze baada 2015 baada ya cut baa.
Ndio hapo basi yaani wewe kwenda kutufanyia fashion show sehemu ya watu wako serious na shughuli za maendeleo wewe ndio unaona ametuwakilisha vema kweli vigezo vyetu vya maana ya neno vema tunatofautiana. Ningelisikia Susan Lyimo amefanikiwa kupata mkopo wa Billioni kadhaa kuja kujenga kinu cha kufua umeme wa nyuklia Bongo. Au kapata wawekezaji kuja kuwekeza katika Uranium yetu ningelikubali ametuwakilisha vema. Mwe kuna watu wanafikiria kwa masaburi Tanzania hii hadi aibu.
Tangu Mkapa afungue pazia la kuruhusu wawekezaji nchini, nilichoshuhudia ni kwenda sambamba na kuzidi kupungua megawati za electric power, hata zile tulizokuwa nazo awali nazo zimepungua, najiuliza maswali yanye majibu tata juu ya dhana ya uwekezaji toka nchi za nje kama una manufaa kwetu au la.
Anafanya utalii zaidi kuliko kazi.
Caudal thinker craap!!Anafanya utalii zaidi kuliko kazi.
Kama ni kina mama wana vimini wako sokoni kuwinda fursa!!Wajumbe kutoka Tanzania ambao wengi ni kutoka ccm, kama kawaida yao wako mitaani wanazurura, viti viko vyeupeeeeeeee,
Runataka kuwaona hao magamba wako wapi!? wanawakilisha hotelini kusainisha mikataba ya wizi!!Tatizo lako unaangalia kila jambo kwa miwani ya udini. Hata pale unapotaja jambo jema toka chadema lazima ulinasibishe na zito as if yeye tu ndiye mtu.
Porojo za mohamed said ndio zimekumaliza kabisa.
Kama serikali yenu inatumia mabilioni ya shilingi kutangaza utalii nje ya nchi, ni jambo la kujivunia kwa suzan lyimo kuwasaidia kutangaza utalii free of charge!
Usemayo mkuu ni kweli, tunataka uwakilishi kwenye mikutano kama huu hapaMasaburi mwengine huyu,
Wewe unadhani kwenda kuonyesha fashion show ndio sifa? Mwangalieni Zitto akienda mambo anayoyafanya
kajifunzeni kwake mjue. Dunia ya sasa si ya kutalii ni kukimbia muda wa kushangaa umeisha. Bora mie nitakayeleta mwekezaji kwani atatoa kazi, umeme utapatikana, maisha yataboreka kodi itaongezeka kuliko mtalii wenu anaenda kushangaa majengo, kodi inatumika bure, akija hapa kutwa maandamano na kelele nyingi hakuna kitu serikali inaingiza wajinga Tanzania wapo wengi loh!!!