Mtu yeyote atakayejifunza kutenganisha sheria na siasa katika mazingira yasiyokuwa ya kidemokrasia na utawala wa kweli wa sheria ni punguani! Hata anayedhani inawezekana ni au haelewi anachoongea au amepumbazwa na anavyovifaidi kwa kukosekana kwa taratibu nzuri za demokrasia ya kweli na kutokuwepo utawala wa kweli wa sheria.Nadhani akitoka jela atajifunza kuheshimu sheria. Itaweza kutenganisha sheria na siasa.