Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,430
- 2,282
Kumbe!Mkuu Kagemro achana na walevi (chek signature yake)
Kumbe!Mkuu Kagemro achana na walevi (chek signature yake)
Awafungulie mashitaka kwenye mahakama ipi ambayo unategemea itatenda haki? Wakati kila mahali wameshika wao na hawataki kuachia hata umeya.
Lakini sisi ni wabinafsi na waoga wakubwa tunajihurumia hatuwezi kudai haki zetu barabarani kitu ambacho watoto wetu watakuja kutemea mate makaburi yetu na kutulaani kwa kutokuwa wajasiri.
TUAMKENI JAMANI HAYA MAMBO YA KIZAMANI SANA
Ndugu zangu,
sasa nchi yetu imefikia pabaya,tumekuwa tukijadili kuwa uchaguzi uliopita haukuwa halali hatakidogo.Jana katika wilaya kadhaa kumekuwa na uchaguzi wa meya ikiwamo halimashahuri za mwanza,Arusha,kilimanjaro,msoma.ukerewe na hai.
cha kushangaza halmashahuri zote zinazochukuliwa na chadema zimepata shida sana ikiwamo kupigwa na kuumizwa vibaya.
Katika mkoa wa Arusha jana waliahirisha na leo viongozi wale wa mji wa Arusha wameamkia katika ukumbi na kukuta CCm wameamka saa kumi usiku na kupiga kura bila kuwaharifu madiwani wa chadema.ndugu zangu hii si halali,ninapoongea sasa Mbunge lema amepigwa na polisi mpaka kupoteza fahamu na bila hata haibu wamemfungia chumbani.
IGP na viongozi wa juu wa polisi wapo Arusha na baada ya kupata taarifa hizi wameacha kupokea simu.
Jamani mimi nafikiri mwisho wa kuionea au kuibembeleza CCM umefika hapa hakuna Democrasia.sheria inasema any election should be free and fair.
NA POLISI HAWARUHUSIWI KUINGIA NDANI YA KIKAO CHA COUNCIL KWANI NI KIKAO KAMA CHA BUNGE.
inasikitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha sana na moyo wangu unamajonzi.
Tatizo la ujuaji mwingi...
Hapo umesema kaka ila taratibu tumeanza kuchoka na watu wengi wa arusha hawakujua kinachoendelea jana na leo....nimefika polisi wamejaa na silaha nikaenda halimashauri napo poli wametanda hawataki kuona mtu maeneo hayo zaidi ya dreva tax wa sehemu hizo...nikamuuliza polisi moja kwanini wamempiga Lema kwa dharau kabisa akajibu ulitaka tumfanye nini? ila Lema kaumizwa sana hii inaimanisha Tanzania hakuna amani tena imebaki kwenye kumbukumbu tu.....Nasikia wamesha mchangua meya na naibu wamempa yule wa TLP bw Kivuyo diwani wa sokoni oneAwafungulie mashitaka kwenye mahakama ipi ambayo unategemea itatenda haki? Wakati kila mahali wameshika wao na hawataki kuachia hata umeya.
Lakini sisi ni wabinafsi na waoga wakubwa tunajihurumia hatuwezi kudai haki zetu barabarani kitu ambacho watoto wetu watakuja kutemea mate makaburi yetu na kutulaani kwa kutokuwa wajasiri.
TUAMKENI JAMANI HAYA MAMBO YA KIZAMANI SANA
Katika mkoa wa Arusha jana waliahirisha na leo viongozi wale wa mji wa Arusha wameamkia katika ukumbi na kukuta CCm wameamka saa kumi usiku na kupiga kura bila kuwaharifu madiwani wa chadema.ndugu zangu hii si halali,ninapoongea sasa Mbunge lema amepigwa na polisi mpaka kupoteza fahamu na bila hata haibu wamemfungia chumbani.
IGP na viongozi wa juu wa polisi wapo Arusha na baada ya kupata taarifa hizi wameacha kupokea simu.
Jamani mimi nafikiri mwisho wa kuionea au kuibembeleza CCM umefika hapa hakuna Democrasia.sheria inasema any election should be free and fair.
NA POLISI HAWARUHUSIWI KUINGIA NDANI YA KIKAO CHA COUNCIL KWANI NI KIKAO KAMA CHA BUNGE.
inasikitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiis ha sana na moyo wangu unamajonzi.
na sikia alikuwa ametoa mil 200 kwa ajili ya kuhakikisha meya anatoka CCM, hasa ukizingatia vitega uchumi vyake viko arusha..mmh! kama ni kweli hii ni hatari, lazimamafisadi wakiongozwa na Lowasa watakuwa nyuma ya hii scandal. ccm watambua kuwa tone moja la damu watakayo mwaga itawaghalimu milele.
walikuwa 14, wakaongezwa namelo Sokoine na Mary Chitanda hivyo kuwa 16 huku CDM wakibaki 14 nawa TLP kawaunga mkono maana wamempa unaibu meya hivyo wana kura 17...Huoni kuwa bado CCM yaweza kuibuka kideda kama huyo mwingine.............Namelo Sokoine kuongezwa kiujanjaujanja....yamaanisha CCM ni 15 na Chadema plus TLP ni 15.................Au CCM uwepo mgawanyiko na hivyo kuwaruhusu Chadema kushinda?