Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Ni nyaraka za Upinzani Kwani hata ili haulijui? Kwani kwenye kuna Ibara ktk katiba au kifungu chochote cha sheria kinachosema kitabu cha bajeti ya Upinzani ni nyaraka za Serikali?Kitabu cha bajeti ya upinzani ni nyaraka ya nani?
Au upinzani haupo Kikatiba ndani ya Bunge??