Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

Kitabu cha bajeti ya upinzani ni nyaraka ya nani?
Au upinzani haupo Kikatiba ndani ya Bunge??
Ni nyaraka za Upinzani Kwani hata ili haulijui? Kwani kwenye kuna Ibara ktk katiba au kifungu chochote cha sheria kinachosema kitabu cha bajeti ya Upinzani ni nyaraka za Serikali?
 
...mzukaaaa umempandaaa.... ni sawa na wale maprofesa/daktari-kwa kusoma....ulikiwa ukiwapelekea assignments wanachora chora kwa kalamu nyekundu wanakwambia RUBISHiiiiiiii

Nukuu ya uzi huu: "usimtendee mwenzio usilopenda kutendewa wewe.."
 
Ni nyaraka za Upinzani Kwani hata ili haulijui? Kwani kwenye kuna Ibara ktk katiba au kifungu chochote cha sheria kinachosema kitabu cha bajeti ya Upinzani ni nyaraka za Serikali?
Nyie ndiyo maana mnaokotwa majalalani.
Screenshot_2019-06-11-16-16-59.jpeg
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Kumbe kitabu cha bajeti ya Upinzani?
Nilidhani kitabu cha bajeti ya Serikali ambayo ni nyaraka za Serikali
Kumbe huna ujualo ujanja usoni,nyaraka yoyote iliyopokelewa Bunge ni nyaraka ya Bunge na Serikali,kwa akili zako kidogo Bajeti ya upinzani ni mbadala wa bajeti ya serikali usiwe na kiherehere cha kuchangia kama hujaelewa mada
 
Ingekuwa vice versa ndiokosa..yaani angekuwa wa upinzani angetamani ardhi ipasuke.
 
Sijawasikia wale waliohamia huko kutoka huku wakichangia chochote katika bunge hili.Yule wa kule kwenye lile ziwa alipokuwa huku alikuwa anatema material ile mbaya,lakini this time hajachangia chochote,sijui wameshautoa ubongo wake....!!!!
 
Ni nyaraka za Upinzani Kwani hata ili haulijui? Kwani kwenye kuna Ibara ktk katiba au kifungu chochote cha sheria kinachosema kitabu cha bajeti ya Upinzani ni nyaraka za Serikali?
Avatar yako umeweka mtu ambaye akili yake haikuwa kama hizo zako ndani ya fuvu
 
Wanasheria wetu hebu tufahamishe je kitendo cha Mbunge Vuma (CCM) Jimbo la Kigoma juchana Kitabu cha Bajeti cha Kambi ya Upinzani ni Kosa kisheria?

Kama ndio kwanini hakuchukiliwa hatua?

Kama sio kosa je Wabunge wakiamua kuvichana itakuwaje?
Namna pekee ya kujua Ni kuchana kitabu Cha bajeti namna ileile...
 
Wanasheria wetu hebu tufahamishe je kitendo cha Mbunge Vuma (CCM) Jimbo la Kigoma juchana Kitabu cha Bajeti cha Kambi ya Upinzani ni Kosa kisheria?

Kama ndio kwanini hakuchukiliwa hatua?

Kama sio kosa je Wabunge wakiamua kuvichana itakuwaje?
Siku akichana wa upinzani utasikia akichukuliwa hatua kali
 
Ukiona bungeni hakuna heshima na haki ujue mtaani hali ni mbaya...
Ukiona bungeni "nyaraka nyeti" zinachanwa na mpuuzi mmoja huku akilindwa na kiti ujue huku mitaani kumeshaoza...
Propaganda: Maendeleo hayana chama...
Yana mwisho lkn Mkuu.
 
Back
Top Bottom