Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
113
142
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari.

Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

“Kuna kiongozi namheshimu sana eti anasema kwanini wabunge hatukuitwa jina mmoja mmoja kupiga kura, nataka nimwambie yeye amekaa humu ndani ya bunge kwa miaka 10 utaratibu wa kupiga kura ya kuitwa mmoja mmoja ni kupitisha bajeti ya Serikali tu lakini masuala mengine yote utaratibu ni kuhojiwa,”amesema.

“Lakini nataka nimkumbushe Profesa Tibaijuka alipokuwa Waziri (Ardhi) mwaka 2013 aliwasilisha mpango wa kuifanya mji wa Kigamboni kuwa mji wa kisasa wa thamani ya Sh11 trilioni japo haukufanikiwa lakini tuliupitisha humu bungeni kwa kura za kuhojiwa,” Amesema Subira.

Mwananchi

Mbunge Subira.jpg
 
Hivi viti maalumu huwa sivielewagi kabisa.hivi vyeo vya kuhongwa vigutwe kabisa.viko kwa ajili ya kutetea rais hata kwenye upuuzi
Hivi vyeo vya chupi wakishachomekwa miti huko chini akili zinajizima data. Anapayupa utadhani yeye ndiye mwenye akili kuliko watanzania wote wanaolalamikia mkataba huu wa ovyo ambao rais samia ameusaini ili kuiuza nchi kwa waarabu wenzake. Ipo siku tutauana kwa sababu ya upumbavu wa watu wachache.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari...
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari...
Angeomba Wasafi (au platform nyingine yeyote) wamkaribishe yeye na Profesa anayemheshimu ili walijadili hili suala hadharani badala ya kuficha ndani ya Bunge.

Amandla...
 
TUNAOMBA MDAHALO LIVE ITV KATI YA MBUNGE WA VITI MAALUM, SUBIRA MGALU (MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI) NA PROF, ANNA TIBAIJUKA (MBUNGE MSTAAFU) KUHUSU MKATABA WA BAINA YA TANZANIA NA DUBAI KUHUSU UENDESHAJI NA UBORESHAJI WA BANDARI NCHINI.
 
Hako kabunge bunge kanataka kushindana na professor!
 
TUNAOMBA MDAHALO LIVE ITV KATI YA MBUNGE WA VITI MAALUM, SUBIRA MGALU (MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI) NA PROF, ANNA TIBAIJUKA (MBUNGE MSTAAFU) KUHUSU MKATABA WA BAINA YA TANZANIA NA DUBAI KUHUSU UENDESHAJI NA UBORESHAJI WA BANDARI NCHINI.
Tangu lin chawa akawa na hoja zaid ya uchawa? Cha ajabu chawa anamchukua san anaekosoa kwa hoja 🤣🤣🤣🤣
 
TUNAOMBA MDAHALO LIVE ITV KATI YA MBUNGE WA VITI MAALUM, SUBIRA MGALU (MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI) NA PROF, ANNA TIBAIJUKA (MBUNGE MSTAAFU) KUHUSU MKATABA WA BAINA YA TANZANIA NA DUBAI KUHUSU UENDESHAJI NA UBORESHAJI WA BANDARI NCHINI.
Utakuwa lini mkuu?
 
Haha Subira, Prof Anna huwa anaongea huku anacheka.
 
Back
Top Bottom