Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,973
- 32,372
Kwani Zanzibar hamna CDM, nashukuru kama umekiri mwenyewe kama CDM ni chama cha WachaggaRIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
Kwani Zanzibar hamna CDM, nashukuru kama umekiri mwenyewe kama CDM ni chama cha WachaggaRIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
kwa hiyo Tanganyika ni wachaga wote au huwa unaimanisha nini unaposema wachaga....Kwani Zanzibar hamna CDM, nashukuru kama umekiri mwenyewe kama CDM ni chama cha Wachagga
Mwanzo umeuliza halafu mwisho umehitimisha kama kwama alikuwa anaendesha mwenyewe, ungesubiri ujibiwe kwanza...........Alikuwa na dereva wake sijui hali yake kwa sasa ila nae alikuwa amelazwa...............duh ni mbaya sana dereva wake vip hali yake? au akuwa na dereva jamani wabunge
mnapewa pesa za kuwalipa madereva vip mbona amuwalipi mnaendesha magari wenyewe?
Ni mbunge wa baraza la wawakilishi - CCM!
<br />RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
RIP Mbunge.
Mbali na hilo tukio lililotupata watanzania kwa kuondokewa na mbunge, me nadhani pia ntaunga na Kibonde wa Radio Clouds FM jana alisema jambo mmoja muhimu sana kumetokea matukio mengi ya viongozi(esp Wabunge) hawa kukumbwa na ajari na kupoteza uhai wao, Je serikali sibora ikatoa uamuzi sasa kuwa Makao makuu ya serikali yasiwe kwa mdomo na kwa maandishi kwenye vitabu na wafanye kwa vitendo wahamie DODOMA kabisa, kuboresha Uwanaja wa Kimataifa wa ndege hapo Dodoma maana utajengwa kule njia ya kwenda Msalato ndiko eneo liliko pangiwa.
Sijui wana JF mwasemaje kwa hilo pia!!!!
Mkuu angalia pande zote, mwaka jana tu! Ajali za barabarani ziliuwa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wapatao 1,690 hapa Tanzania na Mabasi yaliwa watanzania 1,005! hao pia wana haki ya kulindwa uhai wao.
Mi nasema kifo ni kifo hakifai kwa kiongozi na pia hakifai kwa waendesha baiskeli wa Shinyanga wala wa Mwanza, pia hakifai kwa abiria wanaotumia mabasi, hili tatizo lifanyiwe kazi kwa mapana yake polisi hawana akili wala utashi wa kupambanana na ajali za barabarani tena hao wabunge wetu wamejisahau sana mbona awaleti sheria mbadala ya usalama barabarani, achana na mawazo ya kuamisha makao makuu ya serikali hayana uhusianao wowote na usalama barabarani.
<br />RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
I'm very sorry...
RIP Mussa Khamisi Silima
Tujipange kwa uchaguzi Unguja.
RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.[/QUOT
Wakati wenzio tupo kwenye majonzi wewe unawaza jimbo? Hebu mkachikue hilo jimbo la ZNZ