ABEDNEGO CHARLES
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 567
- 104
Tunasikitika pamoja na wote walioondokewa na wapendwa wao. Tumwombee sana Dr Mary Mwanjelwa
ulijuaje?au ulipanga ajaliNilijua yangetokea haya
Nilijua yangetokea haya
ungesubiri upate taarifa kamili ndio uilete hapa!! Sasa mtu akisoma kichwa cha habari na kilichomo ndani ataelewa nini? Sio ukisikia tetesi tu unaleta hapa!kama wewe uliyesikia hauwezi kupata/kutafuta taarifa kamili je mimi nisiyekuwa na taarifa yoyote?
Nilijua yangetokea haya
Laiti hiyo barabara ingekuwa ni one way hayo magri yasingegongana
Tanzania too much accidents! LEO HII DAR EXPRESS LIMEUNGUA NA HII TENA ILIYOHUSISHA MAGARI 3 ACHILIA MBALI AJALI ZA JUZI NA JANA. RIP MAREHEMU WOTE NA POLE KWA WALOFIWA NA WALIOPATA HASARA YA MALI ZAO. VYOMBO HUSIKA WAFANYE UKAGUZI WA MAGARI+DRIVERS
Nilijua yangetokea haya
kalumbesa acha gubu,,,mbona kuna update hapo mdau!!!!!
Chukua hatua, ondoa ccm madarakaniWe Need to build a two way line... TWO LINES OUT OF TOWN; TWO WAY COMING TO TOWN...
Tuna Pesa za GAS; Kwanini ziishie Matumboni Mwa Wachache walioko CCM-NEC ?