Mbunge Mary Mwanjelwa apata ajali mbaya, watu kadhaa wapoteza maisha!

Pole kwa Mh Mwanjelwa na majeruhi woote waliokutwa na kadhia hiyo

Na mungu awape amani wote waliopoteza wapendwa wao

Kwa waliopoteza maisha,Mungu awaweke sehemu stahiki,kila mmoja kwa yake aliyotenda wkt wa uhai wake

Amin!!
 
weeeeh! Hajakufa, ameumia.
Hiyo dhambi ya mataulo alishatubu, usiikumbushie manake Mungu keshaisahau.

Ha ha ha ha.. Anaweza kuwa ametubu baada ya kukamatwa.. kwa kosa lile la wakati ule alipokamatwa.. Tatizo atakuwa ameacha kweli au ndio amekuwa mwangalifu sana..?
 
Jamani wapiga kura wa mag aaagh wa chadema mnatupunguzia wajameni,poleni wote mliofikwa na matatizo tupo pamoja kwa hili.
 
Back
Top Bottom