Mbunge Mary Mwanjelwa apata ajali mbaya, watu kadhaa wapoteza maisha!

Tanzania too much accidents! LEO HII DAR EXPRESS LIMEUNGUA NA HII TENA ILIYOHUSISHA MAGARI 3 ACHILIA MBALI AJALI ZA JUZI NA JANA. RIP MAREHEMU WOTE NA POLE KWA WALOFIWA NA WALIOPATA HASARA YA MALI ZAO. VYOMBO HUSIKA WAFANYE UKAGUZI WA MAGARI+DRIVERS
 
ungesubiri upate taarifa kamili ndio uilete hapa!! Sasa mtu akisoma kichwa cha habari na kilichomo ndani ataelewa nini? Sio ukisikia tetesi tu unaleta hapa!kama wewe uliyesikia hauwezi kupata/kutafuta taarifa kamili je mimi nisiyekuwa na taarifa yoyote?

si kila tetesi hazifai mkuu!
 
AJALI MBAYA IMETOKEA MUDA SI MREFU ENEO LA MBALIZI MBEYA, MAGARI MAWILI YAGONGANA NA KUWAKA MOTO . WATU NANE WALIPOTIWA KUFARIKI DUNIA, MBUNGE WA VITI MAALUM MH.MARY MWANJELWA ALIKUWEMO KATIKA AJALI HIYO, KATIBU WAKE ATEKETEA KWA MOTO.



IMG-20121002-WA0014.jpg

HIVI NDIVYO MAAFA YALIVYO
IMG-20121002-WA0015.jpg

MKUU WA MKOA WA MBEYA ALIYE VAA SUTI YA BLUE MH. ABASS KANDORO AKIWA ENEO LA AJALI
IMG-20121002-WA0016.jpg

HIVI NDIVYO HILI GARI LILIVYO UNGUA MOTO BAADA YA AJALI
IMG-20121002-WA0017.jpg

MAMIA YA WATU WALIOFIKA KUSHUHUDIA AJALI HIYO MBALIZI
IMG-20121002-WA0018.jpg

HIVI NDIVYO GARI HILI LILIVYO PINDUKA NA KUWAKA MOTO BAADA YA AJALI



IMG-20121002-WA0020.jpg



IMG-20121002-WA0021.jpg

HII NI GARI NYENGINE AMBAYO PIA ILIWAKA MOTO BAADA YA KUGONGANA
IMG-20121002-WA0022.jpg

FIRE WAKIWA WAMEWAHI ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA KUZIMA MOTO HUO
IMG-20121002-WA0023.jpg



IMG-20121002-WA0024.jpg

ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WAMEFIKA ENEO LA TUKIO AMBAPO MAGARI HAYO YAMESABABISHA VIFO VYA WATU NANE.
IMG-20121002-WA0025.jpg



IMG-20121002-WA0026.jpg

WATU WAKIWA WAMEONGEZEKA KUSHUHUDIA TUKIO HILI LA AJALI
IMG-20121002-WA0027.jpg

HUU NDIO MUONEKANO WA GARI HILI LIKIWA LIMEUNGUA LOTE
IMG-20121002-WA0028.jpg

HAYA NI MABAKI YA GARI HILI AMBALO NALO LILIUNGUA LOTE
IMG-20121002-WA0029.jpg



IMG-20121002-WA0030.jpg

WANANCHI MBALI MBALI WAKIWA WANASHUHUDIA AJALI HUKU WENGINE WAKIWA WANAENDELEA KUOKOA WALIO PATA AJALI
IMG-20121002-WA0031.jpg



IMG-20121002-WA0032.jpg

KIKOSI CHA FFU NAO WALIKUWEPO SAMBAMBA KATIKA KUHAKIKISHA ZOEZI LA UOKOAJI LINAENDA KIKAMILIFU.
PIA KATIKA ENEO HILI MBUNGE WA VITI MAALUM MH.MARY MWANJELWAALIKUWEPO NDANI YA PICK UP ILIYO UNGUWA MOTO, KATIBU WAKE ATEKETEA KWA MOTO HUO.


HABARI KAMILI BAADAE


TONE MEDIA LIVE GROUP TUMESHUHUDIA TUKIO HILI.


PICHA ZOTE NA: MBEYA YETU BLOG
 
Laiti hiyo barabara ingekuwa ni one way hayo magri yasingegongana

We Need to build a two way line... TWO LINES OUT OF TOWN; TWO WAY COMING TO TOWN...

Tuna Pesa za GAS; Kwanini ziishie Matumboni Mwa Wachache walioko CCM-NEC ?
 
..Sio kwa sirikali hii ya Dhaifu !! Juzi tu wiki ya usalama barabarani, mradi mwingine wa polisi wa kujipatia hela imekwisha na ajali ndiyo kwanza zimekolea !!!! Lazima kuna tatizo flan, yaani ni malori TZ tu ndiyo kila siku breki zinafeli kuliko inji nyingine zozote, WHY ??

Kuna kampuni flan flan, za wakubwa flan hasa haya mabasi kipindi hiki hadi december ndiyo muda wao wa ajali kibao... !!

Tanzania too much accidents! LEO HII DAR EXPRESS LIMEUNGUA NA HII TENA ILIYOHUSISHA MAGARI 3 ACHILIA MBALI AJALI ZA JUZI NA JANA. RIP MAREHEMU WOTE NA POLE KWA WALOFIWA NA WALIOPATA HASARA YA MALI ZAO. VYOMBO HUSIKA WAFANYE UKAGUZI WA MAGARI+DRIVERS
 
hii hatari sana!
RIP NDUGU ZANGU!
Naifahamu mbalizi na nalifahamu eneo hilo ni baya sana!
 
Nilijua yangetokea haya

Hivi kumbe wewe una roho mbaya hata kwa magamba wenzio? au mnang'ang'aniana baba mwanasha! After all gali iliyosababisha ajali, Lake Oil kwa tetesi ni ya gamba Mkuu Riz1. Mimi namuombea apone upesi Marry Mwanjelwa ili 2015 tufaidi mihela yake ya rushwa, kwani ametangaza nia katika jimbo la Mbeya mjini, kula kwa magamba, Kura kwa CHADEMA. 2015 Magamba mtajuta kujaribu bahati yenu Mbeya.
 
kalumbesa acha gubu,,,mbona kuna update hapo mdau!!!!!

Angalia vizuri hizi zilikuwa thread mbili tofauti mods wameimezesha hii iliyokuwa haina nyama kwa iliyokuwa na nyama iliyoanzishwa na nngu007..nili comment wakati thread hazijaungwa kwenye thread aliyoanzisha Mwanaweja..nadhani umenielewa
 
RIP waliofariki wote! Poleni wafiwa.

Pole sana Mh. Mwajelwa. get well soon!!!
 
Oooh my God! Hii wiki hiii....tulianza na Basi la Adventure kule Mwanza,tukasikia tena basi la RS kwenda Bukoba limechinja Kahama,leo tena Dar express limeungua huko Segera Tanga..hatujakaa vizuri ndio hili la Mbeya..next? Mungu tuepushie ajali hizi!
 
Back
Top Bottom