Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

chadema naona wanafurahia sana vifo vya wenziwao, hata hii michango inaonyesha jinsi gani chadema walivyokaa kitumbo tumbo tu
Tangu 2009 haujakomaa tu? Mawazo ya watu humu sio mawazo ya vyama vyao labda kama mwenye kuyaandika kaandika kwa cheo chake. Wala sio mawazo ya wamiliki wa JF. Komaa kidogo MS. Maandishi yako ni zaidi ya unavyotaka tukuone.
 
GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Jeremiah
Middle Name: Solomon
Last Name: Sumari
Member Type: Constituency Member
Constituent: Arumeru Mashariki
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 7586, Dar es Salaam
Office Phone: +255 767 400 110
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: jsumari@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
No items on list

CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Ministry of Labour, Employment and Youth Development Deputy Minister 2006 2/8/2008
Ministry of Planning and Finance Deputy Minister 2/13/2008
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
No items on list

PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list

SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
 
Kwaheri Mzee Sumari! MODS post zote zinazoweza kuumiza familia na jamaa wa Mh Sumari zifutwe tafadhali! kuna watu humu mishipa ya utu imekatika!

jf where we dare to talk openly!
mimi nahisi chungu na tamu zote zinakubalika hapa ilimradi si matusi
 
RIP Sumari. Samahani natoka nje ya mada kidogo kwenye katiba mpya kuwe na muda maalum ambapo mbunge akichaguliwa na wakati wa kuapishwa akawa mgonjwa basi hiyo nafasi iwe wazi. Kuliko mbunge anakuwa mgonjwa na zaidi ya mwaka hajaapishwa
 
chadema naona wanafurahia sana vifo vya wenziwao, hata hii michango inaonyesha jinsi gani chadema walivyokaa kitumbo tumbo tu

si bora hawa wa cdm wanaonyesha wazi wazi, kuliko hao wanafiki wanaochekelea chini chini huku wamevaa yebo yebo sasa wanajadili nani atamrithi marehemu kwenye hilo jimbo atakaye kuwa na nguvu!
 
Poleni sana wafiwa.

Mola amuweke Mh Sumari pahala panapostahikhi.

Je sumari huyu ana uhusiano na yule Pilot Lt Col Sumari (Rtd) aliyeanguka na ndege ya Akukweti kule Mbeya na kukatika mkono?
 
Fursa nyingine kwa JK kwenda kulala Ngurdoto na kuzindua................kisha kuhudhuria maziko..............
 
Poleni wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu Sumari mahali pema peponi, Amen.
 
R.I.P Mr Sumari!
da4f5a0d-dd0c-4a75-8d13-b9fe04471149.jpg
 
Back
Top Bottom