Omuregi Wasu
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 749
- 148
Hivi Dada umeolewa au bado? Nadhani matatizo mengine tunaweza kuyamaliza kirahisi tu. Nahisi una matatizo ...
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.