Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.[/QUOTE
Wewe kweli unaongea pumba. Wewe ni mmoja wa wale ambao bado wamelala usingizi wa pono na hawatarajiwi kuamka hivi karibuni. Pole dada yangu. Kila siku mnaelimishwa juu ya rasilimali zenu zinavyoibiwa na hao wanaoitwa "wawekezaji" lakini haingii akilini mwenu. Usifikiri hao walioamua kuvamia mgodi wote hawana akili kama wewe. Ila wamechoka na pia kuona uchungu wa rasilimali za nchi yao zinavyoibiwa na wageni kama vile nchi haina serikali. Amka dada yangu na uongee mambo yanayosaidia kurudisha rasilimali za nchi yetu mikononi mwa watanzania. Usiongee pumba kama vile umelishwa.........
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Wacha mdogo wangu, hata babangu. Kama anavamia sehemu ya watu kwa kuiba na auawe na mazikoni siendi. Mwizi, Jambazi.
Unataka sema nini wewe, watu wakusanyike, waende kwa nia ya kupora na kudhuru wengine halafu wakae wanatizamwa macho tu? Nashanga! Piga ua, yeyote anae trespass, au hujui sheria za trespassing? Tena kundi zima, mnavamia sehemu waliopewa wawekezaji wafanye shughuli zao? Halafu muwachiwe, eti kwa nini? Kwa kuwa ni mdogo wake FF? Hata aingie mmoja tu uwani kwangu bila kuruhusiwa, wallahi nnamtia risasi halafu tutajuana mbele labda nisimuone! Haa, mtu aingie kwangu bila taarifa akinibaka? Na mie silaha nnayo nimuachie? Hapo hujanambia kitu babuwee.
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".
Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Maswali la kujiuliza hapa ni kwamba hivi wakati hao wawekezaji wanaenda kuwekeza pale hapakuwa na watu? je ni nani hasa aliyeona kuwepo kwa dhahabu pale ni mwekezaji au mwananchi? Wakati hao unaowaita wawekezaji wanakabidhiwa hiyo sehemu wananchi walipewa nini kama sehemu ya kuwaondoa pale walipo na kuwapeleka sehemu nyingine? Je wananchi hao wanafaidika nini kutokana na matendo hayo tofauti na kipindi hayupo muwekezaji huyo? Ni lini mvamizi baada ya kuuawa Serikali ikachukua jukumu la kuzika kwa maana ya kugharimia mazishi yake? Kwa nini Serikali ikatae kuunda tume huru ya uchunguzi wakati imewahi kutokea polisi wakaua wafanyabiashara na kutangaza walikuwa majambazi uchunguzi ulipofanyika ikathibitishwa pasipo shaka kwamba hawakuwa majambazi? Majibu ya maswali haya yakipatikana tunaweza kupata mtu wa kumlaumu kama ni wananchi au polisi.Wacha mdogo wangu, hata babangu. Kama anavamia sehemu ya watu kwa kuiba na auawe na mazikoni siendi. Mwizi, Jambazi.