Mazengo
Member
- Feb 9, 2011
- 30
- 17
Mimi nilibahatika kupata muda wa kutizama Bunge jana japo kwa muda mfupi. kwanza niligundua kua huyu mama mbunge aliyekua anaomba CDM wapewe adhabu ana lake jambo. Toka awali alionekana ama kuomba mwongozo wa spika ama kutoa taarifa wakati tindu Lissu akichangia mada. Hadi ilifikia stage madame speaker akawa anapuuzia na kumwambia Lisu aendelee kuongea. Sijui huyu mama katumwa? ama anatafuta cheo?
Last edited by a moderator: