Waluguru wapo wenye vyeo
Tunafaidika na usalama, maana bila Muungano Zanzibar itakuwa Somalia na Somaliland!Hivi tunafaidika nini na muungano?Wao hawataki viongozi wetu wanaung'ang'ania wa nini?na je tukitengana tutapungukiwa na nini?
Mbona hakuna Mluguru jeshini mwenye cheo kwani Mluguru sio Mtanzania?
khaaaaaaaaaaaaaaaa!Hawa wamesha tatuliwa marinda hawawezi jeshi
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee
hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
Sipo mchanga wa pwani huo