Mbunge amwaga razi bungen

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee

hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
Sipo mchanga wa pwani huo
 
Halua, tende na urojo wataweza kweli kupiga kwata?
 
Wana bendera yao, wana wimbo wa taifa lao, wana katiba yao na nini vile. lile ni taifa kama mataifa mengine tu.
 
Halua, tende na urojo wataweza kweli kupiga kwata?

Uliza uelezwe, front line kule kagera walikuwa kina nani? halafu ushawahi kumsikia Kanal Mahfudh? kama hujasikia uliza uelezwe ni nani?
 
Katika kinachoonesha uzanzibara na uzanzibara badio unautafuna mbunge mmoja wa zanzibar alifurahisha watu pale aliposema ndugu zanguni hili sio jeshi la tanzania hili ni jeshi la tanzania bara nasema hivi nawaambiwa nimepita kila kambi kabla ya kuja kusema haya yaani hakuna wazanzibari wanajeshi sasa hilo jeshi la wapi..na sio hivyo hii ni aibu mh mwenyekiti nenda kaangalie wale jamaa pale juu wamejazana manyota kila kona kaulize kama kuna mzanzibar..nauliza walee pale kaulize hata mmoja kama kuna mzanzibar...huu ni uhuni mtupu mnatuletea ooh muungano muungano gani
wale jamaa wamejazana manyota nani kawaambia wazanzibar awapendi kujazwa nyota ...watu weeeeweee

hata hivyo alaiibuka mbunge mmoja wa ccm sendeka ole akadai anaombamwongozo kuleeta uzanzibara/bari kutalet a maafa ambayo alishindwa kuyataja na kumuuliza mbona waziri husika wa mambo ya ndani mzanzibari??
Sipo mchanga wa pwani huo

kwanini wasilete referendum? Wailete na wananchi tuchague, kifupi kama mtanganyika hata mie sio umuhimu wa huu muungano, ni kupotezeana wakati tu, hebu kila nchi iwe kivyake halafu tuendelee na maisha.
Mie nauhakika wataanza kuchimbana wao kwa wao, kwamba nani ni mzanzibari halisi au mpemba halisi, kwaio wahindi, waarabu na wabantu wataanza ngumi!
Mie naona wenzetu wamekaa kishari mno, sijui wenzangu mnasemaje?
 
yeah hawana lolote ka vipi kilam2 kimpango wake....wanajua kupiga domo na kulalamika!
 
Katika fani yeyote sifa pekee ya kuingia humo ni karama, elimu,kipaji, interest na vigezo vingine.
Tanapochagua timu ya taifa ya mpira wa miguu tunaangalia sifa za mtu na si kutoka bara au visiwani.
Wakati wa Nyerere alijua akitaka mtu mzuri wa kutunza fedha anachukua Kilimanjaro, askari mzuri anachukua Musoma, Mbeya na Singida. watu wa usalama wa taifa anachukua Rukwa, Songea na Singida. Wanasheria na ukusanyaji mapato anachukua Kagera na Kilimanjaro.
Baraza la kiswahili anachuku toka Pwani,Morogoro, Tanga na visiwani. hawa pia walirundikaka Redio Tanzani kuandaa vipindi vya kijaruba.
Jeshi si sehemu ya watu legelege kama watu wa Pwani na VISIWANI.
Jeshi si sehemu ya kupeana ajira za dezo.
 
Hawa wenzetu wa Zanzibar kusema chochote ni jadi yao.
Chakula chote cha nafaka, mbogamboga, vitoeo, umeme n.k wanategemea toka bara. Je tukitengana hivi vitu wanaweza kuvinunua kwa dola?
Shida kubwa hapa wamegundua mafuta kwao kwa hiyo hawataki tuchangie nao. Angalia Jeshi la visiwa vya comoro lililopindua inchi lakini walienda wanajeshi wachache tu wa Tanzania na kuwakamata. Hata Zanzibar wakijitenga watakuwa na jeshi legelege.
Wazanzibari wengi wamejenga bara na wameoa bara. majengo haya lazima wayaache.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom