anayegombea ubunge jimbo la manyoni magharibi kwa tiketi ya ccm bwana lwanja ambaye alizomewa wakati wa ujio wa jk,yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuamua kuliweka rehani gari yake na nyumba yake ya makalanja hapa itigi kama dhamana ya kukopeshwa pesa kwa ajili ya kuendesha kampeni zake ktk kipindi hiki cha lala salama baada ya hali yake kisiasa kuwa mbaya jimboni hapa,upinzani mkubwa anaupata toka kwa mgombea wa chadema bwana lupaa