Mbunge akerwa Zanzibar kufananishwa na wilaya

Zanzibar haina sifa ya nchi kama Zanzibar ni nchi mbona ilishindwa kujiunga OIC ?.Zanzibar haina tofauti na kata ya Kimandolu kuilinganisha na wilaya ya Geita ni makosa makubwa.Kama ni rais hata Yanga na TFF wana rais,kama ni bendera Simba,Yanga,Mtibwa wote wana bendera.[/QUO

Hawa jammaa inferiority inawasumbua sana.Wabunge na wawakilishi wanapigiwa kura na idadi ya watu ambao hata hawana sifa ya kuunda kata halafu nao wana haki ya gari la 90m na mkopo wa 200m za wabunge.Si heri wangeziingiza mojakwa moja kuwahudumia wapiga kura wao 2500?
Hata timu yetu ya bao hapa mtaani ina Rais,Bendera,wimbo na jeshi(walinzi)
 
Sidhani kama Mh. Donald Max samekosea, kama angefananisha ukubwa na nchi ya Ubelgiji inamaana huyu Mbunge wa Zanzibar angeomba kutoa taarifa?
 
Siku zote nimesema Muhagama hajui lolote na hafai hata kwa kunywa nae chai; Zanzibar si nchni huo ndio ukweli kama huyo mbunge anadhani ni nchni anafanya nini Dodoma sasa

By the way kwani zanzibar hailingani na Wilaya kisarawe?
 
Wazanzibari wabunge la muungano jamani mbona mnakuwa na taharuki zisizo na maana!!!! Nasema wabunge kwa vile wengine hawajampa elimu mwenzao. Max alilinganisha ukubwa wa eneo ambao hauunyang'anyi sovereignty iliyo nayo Zanzibar. Nakumbuka Mwalimu Nyerere alikuwa mara kadha akikilinganisha kisiwa cha Uingereza na Jimbo la Magharibi la Tanganyika (Tabora, Kigoma nk) na hata siku moja hatukusikia Waingereza wamemfungulia Nyerere mashitaka Umoja wa Mataifa au Waingereza kuvunja uhusiano na Tanganyika kwa vile wao kama Taifa kubwa ulimwenguni eneo la nchi yao limelinganishwa na Jimbo moja la Tanganyika. Wacheni kuoonyesha uelewa wenu wa mambo katika njia kama hii. Silence is Gold while Speech is Silver.
 
zanzibar ni nchi. hata kama ni ndogo kieneo na watu, zipo nchi nyingine ni ndogo kuliko znb. mf. Vatican ni ndogo kuliko kata ya manzese ambayo ina wakazi 120000, wakati vaticani ina wakazi wasiozidi 3000. ufumbuzi ni serikali 3.
serikali tatu zitokee wapi?ni bora kila mtu ashike mambo yake-serikali 3,halafu wanalalamika wanataka nafasi sawa na huku bara kwenye kila nafasi yenye mtanganyika-kwa uchache wao si wote watapata nafasi wakati huku tanganyika wananchi watakuwa wanaumia-cha kufanya ni kufata mtindo wa sudani-kila nchi iende upande wake
 
images

Zanzibar Flag
images

ZFA
images

ZNZ

images

SMZ

images

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR



Aiisee kumbe Zanzibar ni kubwa kuliko Mauritius...demmn I didnt know that before, basi bora warudishe Sovereign state yao kamili iwe Dola huru kama vile Mauritius, Sychelles, Comoro na Madagasca kwa sababu zote hizo ni chi ndogo kama Zanzibar na ni majirani wa Zanzibar katika Indian Ocean:A S 103:
 
nyerere alifanya mistake kubwa sana kuunga tanganyika na zanzibar
Mnavyoambiwa siku zote kuwa nyerere bom hamkubali. Hakuna alichokifanya kikawa chema kwa sababu matendo yake na kuongea kwake vilikuwa vitu tofauti. Huku anauma huku anapuliza. Kuna chema hapo?
 
Mbona Vatican ni nchi ndani ya jiji, kwani yeneyewe imezidi ukubwa wa Tandale?
 
Siku zote nimesema Muhagama hajui lolote na hafai hata kwa kunywa nae chai; Zanzibar si nchni huo ndio ukweli kama huyo mbunge anadhani ni nchni anafanya nini Dodoma sasa

By the way kwani zanzibar hailingani na Wilaya kisarawe?

weee unataka kuniambia Scotland na Northern Ireland sio nchi ? ninavyofahamu mimi hizo zote ni nchi zilizoungana na england na kuwa United kingdom mbona Wabunge wa Scotland na northern ireland wanakuwemo katika United kingdom Parliment (house of common)
Mbona kuna nchi nyingi tu duniani ni ndogo kuliko hata Zanzibar lakini wako na DOLA HURU yao na ni nchi zinazojulikana katika umoja wa mataifa UN...WHY NOT ZANZIBAR???? YES WE CAN:A S 103:

This is a comprehensive listing of the world's seventeen independent smallest countries, from smallest to largest. They each contain less than 200 square miles in area. If we combined the land area of these 17 countries, we would have a country just a bit larger than the state Rhode Island. Even tiny Singapore is too big for this list (it's 246 square miles)!
  1. Vatican City - 0.2 square miles - The world's smallest state, the Vatican has a population of 770, none of whom are permanent residents. The tiny country which surrounds St. Peter's Basilica is the spiritual center for the world's Roman Catholics (over 1 billion strong). Also known as the Holy See, Vatican City is surrounded by Rome, Italy.
  2. Monaco - 0.7 square miles - The tiny state of Monaco lies along the French Riviera on the French Mediterranean coast near Nice. An impressive 32,000 people live in this state known for its Monte Carlo casinos and Princess Grace. It has been independent off-and-on since the 13th century.
  3. Nauru - 8.5 square miles - The 13,000 residents of the Pacific island Nauru rely on diminishing phosphate deposits. The state became independent in 1968 and was formerly known as Pleasant Island.
  4. Tuvalu - 9 square miles - Tuvalu is composed of 9 coral atolls along a 360 mile chain in Polynesia. They gained independence in 1978. The former Ellice Islands are home to 12,000.
  5. San Marino - 24 square miles - Located on Mt. Titano in north central Italy, San Marino has 29,000 residents. The country claims to be the oldest state in Europe, having been founded in the fourth century.
  6. Liechtenstein - 62 square miles - This microstate of 34,000 is located on the Rhine River between Switzerland and Austria in the Alps.
  7. Marshall Islands - 70 square miles - The atolls (including the world's largest, Kwajalein), reefs, and 34 islands (population 58,000) gained independence in 1986; they were formerly part of the Trust Territory of Pacific Islands (and administered by the United States).
  8. Saint Kitts and Nevis - 104 square miles - This Caribbean country of 39,000 gained independence in 1983. Nevis is the smaller island of the two and is guaranteed the right to secede.
  9. Seychelles - 107 square miles - The 81,000 residents of this Indian Ocean island group have been independent of the United Kingdom since 1976.
  10. Maldives - 115 square miles - Only 200 of the 2000 Indian Ocean islands which make up this country are occupied by 340,000 residents. The islands gained independence from the U.K. in 1965.
  11. Malta - 122 square miles - This island is just south of the Italian island of Sicily. It became independent from the United Kingdom in 1964 and the British military were completely gone by 1979. The population is 400,000.
  12. Grenada - 133 square miles - This Caribbean country (population 90,000) became independent of the U.K. in 1974. It's located quite close to Venezuela.
  13. Saint Vincent and the Grenadines - 150 square miles - 117,000 people live on these Windward Caribbean islands which gained independence from Britain in 1979.
  14. Barbados - 166 square miles - About 280,000 people live on this Caribbean island, the farthest east of the Lesser Antilles. Barbados obtained independence from the U.K. in 1966.
  15. Antigua and Barbuda - 171 square miles - This Caribbean nation of 69,000 has been independent from the United Kingdom since 1981. The three islands which compose this country rely on tourism (as do many of the Caribbean countries and territories).
  16. Andorra - 180 square miles - The independent Principality of Andorra is co-governed by the President of France and the Spain's Bishop of Urgel. With just over 70,000 people, this mountainous tourist destination tucked in the Pyrenees between France and Spain has been independent since 1278.
  17. Palau - 191 square miles - Palau (also known as Belau) was a Trust Territory of Pacific Islands. It was formerly known as the Carolines and is composed of more than 200 islands in the Pacific; the population is about 20,000. It became independent in 1994.
MUSIJARIBU TENA KUWAITA WABUNGE WETU WAJINGA KUMBE NYIE WATANGANYIKA NDIO WAZEMBE INAFAA MURUDI SHULE...

BY THE WAY, ZANZIBAR ITABAKIA KUWA NCHI HADI MWISHO WA DUNIA HIIIIIIII:A S 103:



 
images
Zanzibar Flag
images
ZFA
images
ZNZ
images
SMZ
images
BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBARAiisee kumbe Zanzibar ni kubwa kuliko Mauritius...demmn I didnt know that before, basi bora warudishe Sovereign state yao kamili iwe Dola huru kama vile Mauritius, Sychelles, Comoro na Madagasca kwa sababu zote hizo ni chi ndogo kama Zanzibar na ni majirani wa Zanzibar katika Indian Ocean:A S 103:
Mkuu weka sawa rekodi yako! Madagascar siyo nchi ndogo kieneo...
 
images
Zanzibar Flag
images
ZFA
images
ZNZ
images
SMZ
images
BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBARAiisee kumbe Zanzibar ni kubwa kuliko Mauritius...demmn I didnt know that before, basi bora warudishe Sovereign state yao kamili iwe Dola huru kama vile Mauritius, Sychelles, Comoro na Madagasca kwa sababu zote hizo ni chi ndogo kama Zanzibar na ni majirani wa Zanzibar katika Indian Ocean:A S 103:
Mkuu weka sawa rekodi yako! Madagascar siyo nchi ndogo kieneo, siyo sahihi kuiweka pamoja na hivyo 'vipande' vingine vya ardhi vinavyoelea baharini ulivyoviweka hapo!
 
Acha hizo, huu Muungano maridadi sana na ni wa kujivunia! Mzanzibari ana uraia wa nchi mbili, yaani Mzanzibari na pia Mtanzania! Ndio maana Mzanzibari mwenye akili ataupigania Muungano huu usifariki hata kidogo! Mtanganyika (Mtanzania Bara kama ukipenda) anafaidika na hali ya utulivu iliyopo chini ya Muungano huu!

Umeonae!! well, Hatahiyo gesi wanayoililia ni kutokufanya hesabu sawasawa kwani umeme unaozalishwa na hiyo gesi si kama wanapewa bure tu? Hiyo "amani na utulivu" unayoizungumzia to me ni bomu linalosubiri kupasuka kwani kadiri wazanzibar wanavyotuchokozza ipo siku watu wataamka usingizini. Narudia sioni faida yeyote ya muungano zaidi ya kupora Rasilimali za Bara na kualika magavana wa kututawala! Solution tuwe na Serekali moja Unguja na Pemba ziwe mikoa au tutawanyike ,kila mmoja achukue kilicho chake. Haya ya ugaidi yapo tu hata ndani ya muungano. Mbona wameshapiga? Hayana logic kwa sasa vita baridi imekwisha!

Jamani wazanzibari wenyewe hawataki muungano mbona tunawalazimisha? Unajua matokeo ya ndoa ya kulazimisha??
 
hivi utajisikiaje kama rafiki yako anakuambia amemuona "changu doa", ambae amefanana na mama yako?

Takashi usiwe "Pessimistic" kila wakati vitu vingine uangalie kwa upana wa fahamu zako si hisia au matamanio ya nafsi yako mkuu. Kwani ki-eneo je sikweli kuwa zanzibar ni ndogo kuliko geita? mbona ivi jamani mnataka kufanya uzanzibari kama uanasesere-hauguswi!
 
weee unataka kuniambia scotland na northern ireland sio nchi ? Ninavyofahamu mimi hizo zote ni nchi zilizoungana na england na kuwa united kingdom mbona wabunge wa scotland na northern ireland wanakuwemo katika united kingdom parliment (house of common)
mbona kuna nchi nyingi tu duniani ni ndogo kuliko hata zanzibar lakini wako na dola huru yao na ni nchi zinazojulikana katika umoja wa mataifa un...why not zanzibar???? Yes we can:a s 103:

this is a comprehensive listing of the world's seventeen independent smallest countries, from smallest to largest. They each contain less than 200 square miles in area. If we combined the land area of these 17 countries, we would have a country just a bit larger than the state rhode island. Even tiny singapore is too big for this list (it's 246 square miles)!
  1. vatican city - 0.2 square miles - the world's smallest state, the vatican has a population of 770, none of whom are permanent residents. The tiny country which surrounds st. Peter's basilica is the spiritual center for the world's roman catholics (over 1 billion strong). Also known as the holy see, vatican city is surrounded by rome, italy.
  2. monaco - 0.7 square miles - the tiny state of monaco lies along the french riviera on the french mediterranean coast near nice. An impressive 32,000 people live in this state known for its monte carlo casinos and princess grace. It has been independent off-and-on since the 13th century.
  3. nauru - 8.5 square miles - the 13,000 residents of the pacific island nauru rely on diminishing phosphate deposits. The state became independent in 1968 and was formerly known as pleasant island.
  4. tuvalu - 9 square miles - tuvalu is composed of 9 coral atolls along a 360 mile chain in polynesia. They gained independence in 1978. The former ellice islands are home to 12,000.
  5. san marino - 24 square miles - located on mt. Titano in north central italy, san marino has 29,000 residents. The country claims to be the oldest state in europe, having been founded in the fourth century.
  6. liechtenstein - 62 square miles - this microstate of 34,000 is located on the rhine river between switzerland and austria in the alps.
  7. marshall islands - 70 square miles - the atolls (including the world's largest, kwajalein), reefs, and 34 islands (population 58,000) gained independence in 1986; they were formerly part of the trust territory of pacific islands (and administered by the united states).
  8. saint kitts and nevis - 104 square miles - this caribbean country of 39,000 gained independence in 1983. Nevis is the smaller island of the two and is guaranteed the right to secede.
  9. seychelles - 107 square miles - the 81,000 residents of this indian ocean island group have been independent of the united kingdom since 1976.
  10. maldives - 115 square miles - only 200 of the 2000 indian ocean islands which make up this country are occupied by 340,000 residents. The islands gained independence from the u.k. In 1965.
  11. malta - 122 square miles - this island is just south of the italian island of sicily. It became independent from the united kingdom in 1964 and the british military were completely gone by 1979. The population is 400,000.
  12. grenada - 133 square miles - this caribbean country (population 90,000) became independent of the u.k. In 1974. It's located quite close to venezuela.
  13. saint vincent and the grenadines - 150 square miles - 117,000 people live on these windward caribbean islands which gained independence from britain in 1979.
  14. barbados - 166 square miles - about 280,000 people live on this caribbean island, the farthest east of the lesser antilles. Barbados obtained independence from the u.k. In 1966.
  15. antigua and barbuda - 171 square miles - this caribbean nation of 69,000 has been independent from the united kingdom since 1981. The three islands which compose this country rely on tourism (as do many of the caribbean countries and territories).
  16. andorra - 180 square miles - the independent principality of andorra is co-governed by the president of france and the spain's bishop of urgel. With just over 70,000 people, this mountainous tourist destination tucked in the pyrenees between france and spain has been independent since 1278.
  17. palau - 191 square miles - palau (also known as belau) was a trust territory of pacific islands. It was formerly known as the carolines and is composed of more than 200 islands in the pacific; the population is about 20,000. It became independent in 1994.
musijaribu tena kuwaita wabunge wetu wajinga kumbe nyie watanganyika ndio wazembe inafaa murudi shule...

By the way, zanzibar itabakia kuwa nchi hadi mwisho wa dunia hiiiiiiii:a s 103:





yawezekana upo sahihi kabisa kwa taarifa yako ndeeefu! Utakubaliana nami kuwa "ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi," na hivyo ukubwa wa zanzibar kulinganisha na hao ulowataja sio kigezo cha kuwa nchi.

Tuyaache hayo nimependa hapooo kwenye red.

1. Hongera wewe "uliyesoma".
2. Kama zanzibar ni nchi mbunge wako anafanya nini dodoma? Je, uliwahi kuona wabunge wetu wakihudhuria vikao vya bunge la somalia mosambique au pakistan??
 
Umeonae!! well, Hatahiyo gesi wanayoililia ni kutokufanya hesabu sawasawa kwani umeme unaozalishwa na hiyo gesi si kama wanapewa bure tu? Hiyo "amani na utulivu" unayoizungumzia to me ni bomu linalosubiri kupasuka kwani kadiri wazanzibar wanavyotuchokozza ipo siku watu wataamka usingizini. Narudia sioni faida yeyote ya muungano zaidi ya kupora Rasilimali za Bara na kualika magavana wa kututawala! Solution tuwe na Serekali moja Unguja na Pemba ziwe mikoa au tutawanyike ,kila mmoja achukue kilicho chake. Haya ya ugaidi yapo tu hata ndani ya muungano. Mbona wameshapiga? Hayana logic kwa sasa vita baridi imekwisha! Jamani wazanzibari wenyewe hawataki muungano mbona tunawalazimisha? Unajua matokeo ya ndoa ya kulazimisha??
Baadhi ya Wazanzibari huwa ni watu wa kulalamika tuuuuuu! Hata tuwe na Muungano wa Serikali sita (6) watalalamika tu, hata kukiwa na Dola yao huru watatafuta "mchawi" wa kumlalamikia mpaka watampata ili waendelee na "Profession" yao ya kulalamika! Dawa yao ni kuwaacha walalamike milele, wawaachie Wapenda Muungano ambao ni wengi waendelee kufaidika na matunda ya Muungano! Mungu awakatilie mbali maadui wa Muungano wetu!Wote semeni Amen!
 
QUOTE=LordJustice1;2280651]Baadhi ya Wazanzibari huwa ni watu wa kulalamika tuuuuuu! Hata tuwe na Muungano wa Serikali sita (6) watalalamika tu, hata kukiwa na Dola yao huru watatafuta "mchawi" wa kumlalamikia mpaka watampata ili waendelee na "Profession" yao ya kulalamika! Dawa yao ni kuwaacha walalamike milele, wawaachie Wapenda Muungano ambao ni wengi waendelee kufaidika na matunda ya Muungano! Mungu awakatilie mbali maadui wa Muungano wetu!Wote semeni Amen![/QUOTE]

Muheshimiwa Lord Justice unadhani hapo penye RED pangekuwa na ukweli kungekuwa na kigugumizi cha kuitisha kura ya maoni? Nina uhakika (kwa maana pia nimekuwepo kwa muda ndani ya visiwa vya unguja na pemba) Leo hii wakiitisha kura ya maoni wazanzibar wengi wataukataa muungano. Kwa Wadanganyika wenzangu kwakuwa bado tuna kausingizi i doubt kama watakataa.
 
Back
Top Bottom