Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,093
- 144,557
Mbunge mmoja(mwanamama) ameomba muongozo wa spika akitaka taarifa wanazotumia kutoka ofisi ya Bunge kama vile ratiba n.k, zitolewe kwa njia nyingine mbali na kutumiwa kwenye simu zao kwani yeye simu yake ni ya kawaida tu na siyo smart phone hivyo anashindwa kupata taarifa hizo.
Hata hivyo,Spika aliangua kicheko na kumtaka mh. huyo atafute simu za kisasa kwani ndio zitatakiwa hapo baadae.
My take:
Ni kweli au anatania?
Au ndio anataka wabunge waanze kununuliwa ipad kiaina?
Au mh.huyu ni mjamaa?