Mbowe: Tatizo la Mukama kaanza siasa uzeeni

mtu akikutukana akili kama za mukama we mpeleke mahakamani maana hiyo ni "inuendo" tusi kubwa kweli hilo
hapo tortious liability.
 
Mukama-ulukama-akamanya poor mkama hapa si kelele tu na kutapatapa weka ushahidi mezani hatuwezi kushabikia ujinga,kusema bila kufikiria mwenzio makamba yalimfika kama yatakavyo kufika wee endelea kulopoka.
 
Hili zee limkama ni tahira linatumia makamasi kufikiri badala ya akili.
 
Kama Mkama anakiamini hicho alichokisema, sasa aonyeshe mfano! Amshinikize waziri wa Mambo ya ndani ajiuzuru mara moja kwa kuruhusu makomandoo hao kuingia nchini kinyume cha sheria! Kisha na yeye ajiuzuru kwa kuwa chama chake kinaongoza serikali isiyowajibika. Chadema ungeni mkono hoja ya Mkama mara moja! ... kwamba ni kweli kuna makomandoo na kisha ashinikizwe kujiuzuru!
Dr. Tslaa alijibu vizuri juu ya tuhuma hizi. Alisema kwamba, kama hali aliyosema Mukama ni kweli, basi huo ni udhaifu wa kiulinzi na usalama wa serikali iliyo chini ya CCM; kwani imeonyesha CHADEMA wana mbinu bora zaidi za kiusalama ambazo zimewafanya waweze kupenyeza makomandoo wao hadi Igunga bila vyombo vya usalama vilivyo chini ya utawala wa CCM kugundua. Ama kweli Tslaa ni mwanafilosofia; kwa majibu hayo sidhani kama Mukama na wanaCCM wengine wameweza kumuelewa.
 
kwa Makama Kikwete ali lambishwa galasha, ni bomu kuliko Makamba. Hata sijui kwanini Kikwete amekuwa wa kudaganywa kila mara
 
hivi mzee anaechukua wake wa ndoa wa watu na kauli zilizotolewa ni yupi anaonekana kichaa na hana hekima na busara!

mwenye hekima ni Mwigulu anayeiba wake wa ndoa ya wa2, na chama chake kikionga 14m kuzima soo...
 
Kwako afande mwema, tafadhali tukamatie hao makamandoo kwa kuwa mukama anawajua na amewaona. Usisubiri igunga ikawa afighnstan wakati kuna mtu mkubwa hivyo wa serikali na chama mwenye ushahidi. Wakamate tuwaone mara moja. Si jambo la usalama kwa nchi kuwa na makamandoo kutoka pakistan,na kwingineko kuliko tajwa. Uliza uhamiaji jamaa hawa wamepitia wapi hadi wakawa identified na mukama. Si mchezo afande mwema shughulika haraka.
 
isue hapo ni ushahidi na si ushabiki yasije yakawa ya madawa yakulevya ya viongozi wa dini na jakaya then baada ya ushahidi wakaloa

Mkuu lini ushahidi wa madawa ya kulevya ulitolewa na akina nani walilowa ? Ulitolewa eneo lipi ?
 
Mukama anaonyesha ni limbukeni wa siasa na ni mbumbumbu wa kupindukia. Makomandoo kutoka Pakistan, Afghanistan, Palestine na Libya. Kama wangekuwa wa kweli, basi wa kulaumu ni Serikali ya CCM inayoongoza Uhamiaji, Usalama wa Taifa, Polisi.

Mzee Mukama umeanza vibaya!!!! Kapumzike ule pensheni yako.
 
Back
Top Bottom