Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Lawrence Masha hakuwa na msaada wowote ndani ya chama hicho.
Muuuhhhh, wachaga bwana: kumbe walitegemea atawapa msaada wa fweza wakaula wa chuya!! Michango ya matibabu ya Lissu hakusaidia cho chote cha maana ukilinganisha na watu kama akina Nyarandu! Hapendwi mtu hapa, kinachopendwa ni pessa yake tu full stop.
 
Yaani mpaka atoke mtu ndo mumlipue?

Yale yale ya akina Kigwangallah kutaka TAKUKURU wamkamate Nyalandu kwa kugawa vitalu hovyo wakati wanajua viligawiwa Ikulu - sawa tu na sasa tender za bombadier as well as ujenzi wa uwanja wa Chato zilivyosimamiwa na mkuu mwenyewe. Utashangaa miaka 8 ijayo mtu kama Prof. Mbarawa anatakiwa kuchunguzwa na kuhojiwa na vyombo. Unafiki huu ndo asili ya Watanzania
Ya Kingwangwala na na hayo mengine yanakujaje hapa,?
 
Halafu watakuja kutuambia kuwa kina Lowassa hawakuwa na msaada wowote, something has happened to CHADEMA and it ain't sweet!
Kama hakuwa na msaada ilikuwaje Mbowe akawa anataka Masha na Wenje wao peke yao ndio wawe wabunge wa Bunge la EA?hapo jua Mbowe aliona Masha tishio kwenye SACCOS yake akaona isiwe tabu amfanyie hujuma ili aondoke,nadhani kosa la Masha ni kutaka mabadiliko huko Chadema na asijue Chadema ni SACCOS ya Mbowe
 
Boss Martin George Kama haya ni maneno yake, inabidi afute kauli au aelezee alikuwa anamaanisha nini???!!! Maana kwenye Taasisi au Chama chochote, hata Mesenja au Mfagizi au Msafisha Choo ana Umuhimu wake.


Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema aliyekuwa mwanachama wao ndugu Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote ndani ya chama chao tokea alipojiunga akitokea CCM.

Chanzo: Gazeti la Nipashe!

My take:
"Sizitaki mbichi hizi", Sungura akagumia
===============

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa aliyekuwa mwanachama wao, Lawrence Masha hakuwa na msaada wowote ndani ya chama hicho.

Amesema kuwa kuondoka kwa Masha katika Chama hicho hakijatikisika chochote bali kinazidi kuimariki na kupokea wanachama wengi wapya, hivyo kuondoka kwa mtu asiyekuwa na msaada ndani ya chama hicho si tatizo.

“Alikuwa hatusaidii chochote ndani ya maji, kwani ulishawahi kumsikia amefanya chochote akiwa chadema? acha amfuate babu yake, acha aondoke zake, sisi hatujapoteza chochote, hata alipokuwa waziri alifanya nini, acha aende kwenye biashara zake Uingereza maana tunasikia anawekeza kule,”amesema Mbowe

Aidha, Masha alitangaza uamuzi wa kuondoka Chadema kupitia taarifa yake iliyosambazwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ya kuamua kuachana na Chadema huku akisema chama hicho kinasafari ndefu ya kuweza kutwaa dola.
 
Nilijua tu yule brazameni wa rose garden hawezi mikikimikiki ya kuwa chama cha Upinzani hasa chama makini kama Chadema. Afadhali amejiondokea zake mapema akauze sura vizuri pale rose garden
 
Masha waliyempa dhamana ya kugombea ubunge EALA leo wanamuona hana msaada wowote we we shabiki wa Chadema unayepanua vidole humu tena kwa Fake ID jitafakali kama Mbowe anatambua mchango wako
 
“Alikuwa hatusaidii chochote ndani ya maji, kwani ulishawahi kumsikia amefanya chochote akiwa chadema? acha amfuate babu yake, acha aondoke zake, sisi hatujapoteza chochote,
Masha alitusumbua sana Dar hata ukawa wakatwa halamshauri ya jiji.
Masha alihangaika sana mpaka akapata kesi kinondoni na Sumbawanga,Mbowe hawezi kulijua hili kwa sababu alikua bize na miamala tu.
 
Chadema wako hivyo, mtu akitoka Chadema kwao humwita msaliti, hana msaada, amehongwa na ccm, na majina ya ovyo ovyo hupewa. Akienda Chadema huyo hutafasiriwa kuwa shujaa.
na vipi wanaotoka ccm kuitwa majizi na kuanza kuandamwa?
nyani haoni kundule
 
Mbowe anaendelea kudhihirisha kuwa wapinzani hawana nia ya kuchukua nchi.

Sisi tuliona msaada wa masha kwenye tls ila mbowe hajaona.

Labda huyu mchaga anaposema msaada anamaanisha pesa.
(Business)
Wewe kabila gani? Poor you
 
uchaguzi wa TLS?? masha did well

insipiration to new members..

mbowe akae kimya, kuna siku atahama.na yy wenzake watasema alikuwa mzigo
And truly to be sincere Mbowe ni mzigo. Huwezi ukachair 15 years bado hujafikia lengo kuu la kwanza alafu ukaendelea kuomba uaminiwe. Kwani wengine hawapo ama koote chama kizima hakina brains zaidi za kumchallenge Mbowe?
 
Back
Top Bottom