Mbowe: Magufuli pambana na wauza gongo Kilimanjaro

Mkoa wa Kilimanjaro nguvu kazi inaishia kwenye pombe za kienyeji yaani Kwisha kabisa vijana wamekuwa wazeee gafla

Si tu vijana wa kule wamezeeka GHAFLA nguvu hawana kabisa ukibisha wewe jaribu kuwapa kazi wabebe kreti moja ya soda.kreti hiyo waweza beba vijana wanne kila mmoja kashika pembe moja ya kreti.Kijana mmoja hawezi nyanyua kreti moja peke yake tena wa kiume sio wa kike.Tatizo ni kubwa sio utani.
 
Hadi mameya ni wa kwao.Tatizo CHADEMA wanachotaka ni madaraka sio kazi.Unakuta wakishapata wanaanza kusukumia serikali.Waliimba serikali ya CCM haijafanya kitu tupeni sisi madaraka muone.Wananchi wakawapa kura kuanzia madiwani,wabunge hadi mameya.Wamepata madaraka Porojo zile zile zinaendelea serikali ishughulikie wanywa gongo!!!

Nakumbuka vizuri serikali ilikuwa ikipiga vita gongo na viroba hawa hawa CHADEMA WALIKUWA WAKIPITA KUPINGA KUWA SERIKALI INAPIGA VITA BIASHARA ZA WATU WADOGO za kuuza pombe na viroba bila kuwapa kitu kingine mbadala ili wapate wafuasi na watu wa kuwapigia kura.Sasa wameendekeza hilo muda mrefu hadi wengine walidiriki kusema mkichagua CCM itapiga marufuku gongo na viroba mtajua wenyewe mtaishije wakati hamna starehe ingine na biashara ingine.CCM kweli walikuwa wakipiga vita hasa na walianza kupiga marufuku viroba mfano toka Malawi kuingia nchini na kuteketeza vile vinavyoshikwa.CHADEMA walitumia nguvu wanayoita ya umma kupinga na wakatumia kama agenda ya kuibwaga CCM maeneo ya Tunduma ,MBEYA mjini na Arusha mjini na Rombo.Sawa wameshinda lakini madhara ndio hayo.Wanywa gongo na viroba wanajisikia raha mstarehe wakiwa Chini ya CHADEMA. Sasa hayo matokeo yameanza unasikia majogoo hata ya vijana wa kiume Rombo hayawiki tena inabidi kuagiza wakenya washughulikie watoto wa kike wa kirombo.Kushinda wameshinda lakini kwa gharama ya afya za watu.

Siasa zimesababisha vita ya kupambana na gongo na viroba mikoa hiyo kuwa ngumu.Ufumbuzi wake uko mikononi mwa CHADEMA.
Safi sana. Umetoa ufafanuzi mzuri sana. Hitimisho - ufumbuzi wa ulevi wa gongo Ba viroba upo mikononi mwao sehemu wanazoongoza.
 
HIVI Dar Haya MATEJA Yaliozagaa Kila Kona, Wanaongozwa Na CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, ACT N.k. KAMA Hakuna HOJA Za Msingi Kuleta Humu, Kheri Mkae Kimyaa!!! KUNA Ulevi Ambao UMEMALIZA Na UNAENDELEA Kumaliza NGUVU KAZI Kama Hiyo NGADA!! AMBAYO Mnauza Wenyewe Na Mnajuana, JUZI Tu Imeundwa Tume KUCHUNGUZA Wale Ambao WANAOINGIZA, WANAOSAFIRISHA, KUSAMBAZA Na KUUZA NGADA NCHINI!! CHAKUSHANGAZA Hadi Leo MAJINA HAYO Yamekaliwa!!! SASA Mnahoji Kushindikana Kwa Mtandao Huo Wa WAUZA GONGO!!!? TUMESHUUDIA Mara Kwa Mara Wakikamatwa Na Kumwagiwa Mapipa Yao!!! LKN Wapo Tu Na "VIWANDA "Vyao!!! ALAFU CHADEMA Wanapounda Au Kuongoza Halmashauri, Sio Kama Wao Ndio Wanaomiliki Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama!! Ma-DC, Ma-RC Ndio Wenyeviti Wa KAMATI Za ULINZI Na USALAMA!! HIVYO Wenyeviti Wa Mitaa, Vijiji Na Vitongoji, Madiwani Na Wabunge KAZI Yao Ni KUTOA MAPENDEKEZO Yao Kwa KAMATI Hizo, Ambazo Zenyewe Zinatoa MAAGIZO Ya Kutekeleza Kwa MAPENDEKEZO Hayo!!! NDIO Maana Tumeshuudia RC MAKALLA Akiwa Front Line Kuwakamata Wahusika!!! SASA KUOMBA Msaada Toka AMRI JESHI MKUU, Ni Tatizo!!!?? HAYA Kule Ktk MAJIMBO Ya MATHAYO DAVID, PROF MAGEMBE Na Kule Kulikokuwa Kwa ANNA KILANGO, Nako Ni CHADEMA Wanaogawa VIROBA Na KUWARUHUSU Kupika Gongo Na Kulima Mirungi!!!!??
 
MBONA UNAJICHANGANYA

HIZO HALMASHURI ULIZOTAJA HAPO.

NIAMBIE NI HIPI AIONGOZWI NA UKAWA???????????
 
Hiyo sio kazi ya rais... rais hawezi kuhangaika na walevi walioamua wenyewe kujiharibu

community, viongozi wa dini, afya, mazingira, ulinzi na usalama na wanasiasa wanaweza kumaliza hiyo shida wakiamua
 
Tarime kweli kuna wanywa gongo wachache lakini ndiko kunaongoza Tanzania nzima kwa kuwa na wavutaji wengi wa bangi na wakulima wa bangi.Na jimbo hilo liko chini ya CHADEMA.Tusubirie muda si mrefu kama na nyie hamjamwomba Magufuli ashughulikie.Kamnpeni kule mliishinda CCM kwa kutetea wavuta bangi na walima bangi ambao CCM ilishupalia kupambana nao na kuteketeza mashamba yao wakawapa kura kwa hasira walizokuwa nazo kwa CCM.

Na nyie mlikuwa mkipiga kelele kuwa huwezi piga vita kilimo cha bangi kinachowapa watu riziki bila kutoa njia mbadala.Wakawaona nyie watetezi wao wakawapa.Sasa ngoja tuone kama na nyie muda si mrefu kama hamtalia kama wenzenu wa Kilimanjaro.
REJEA Mchango Wa Mbunge Wa CCM (MSUKUMA) Ndani Ya BUNGE, Kuomba SERIKALI Yake Ya CCM Iruhusu Kilimo Cha Bangi Na Mirungi!!! SASA Ikiwa Bangi Na Mirungi Inayolimwa Inaombewa Ruhusa / Idhini Ya Serikali, Je Gongo Linalopikwa Kwa Usiri!! SI Ndio Balaa!!!!?? JE, Huyo Mbunge Ameshinda Kwa Nguvu Na Kura Za Akina NANI!!!??? ACHENI UCHOKO NINYI!!! HIVI Sasa Tuna Issue Sensitive Mno Ktk Maendeleo Ya NCHI YETU!! HIVI Sasa Wtt Wamefurika Mashuleni! AMBAKO Vyumba Vya Madarasa Ni VICHACHE, VYOO Ni Shida, Waalimu Ni Changamoto!! WTT Wanakaa CHINI Ya MITI, Tena Ktk MAJIJI Makubwa Kama DAR, TANGA, MWANZA N.k. TULIAHIDIWA Million 50 Kila Kijiji Na 150 Kila Kata!! ZAHANATI Kila Kijiji, KITUO CHA AFYA, Kila Kata, HOSPITAL ZENYE HADHI YA WILAYA, Kila Wilaya Na HOSPITAL YA RUFAA Kila MKOA!!! TENA Zikiwa Na DAWA Na VIFAA TIBA Vyakutosha!! WAGANGA Na WAUUGUZI / WATUMISHI Wa Kutosha Walio Na Maslahi Mazuri!!! VIWANDA Vikubwa, Vya Kati Na Vidogo, Kila Mkoa!!! ILI Kuwapatia Vijana Ajira! MAJI Safi Na Salama Kila Kijiji!! HAYO Ndio Yenye TIJA Kwa WATANZANIA Kwa Sasa!! SIO NINYI. MASPIN DOKTA, Mnaojaribu KUJENGA HOJA, Za Kuwatoa WATANZANIA Ktk Issue Sensitive!! WATANZANIA Tuwapotezee Hawa Akina MASPIN DOKTA!!! WACHUNGUZENI Vizuri Hawa WATU, Ni Wale Wale WALIOKUWA Wakipotosha WATANZANIA Kipindi Cha KAMPENI Za UCHAGUZI MKUU!! SASA Wamebadili Muelekeo, Kwa KUSET AJENDA Tofauti, Ya Kuwatoa WATANZANIA Ktk HOJA ZAO Za Msingi!! ILI WASAHAU Na Muda Upite!!!! KUWENI MAKINI NAO!!!
 
Hivi kweli kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani anaomba msaada kwa rais kwa suala la gongo? Basi tuna kazi wabongo. Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa. Madiwani polisi jamii , polisi nk wanafanya kazi gn. Huyu naye anataka kuwa jip
 
Akiongea katika kikao cha 34 cha kamati ya ushauri ya mkoa, Mbunge wa Hai amemuomba rais na serikali yake kuweka mkazo katika kupambana na uuzaji pombe aina ya gongo mkoani Kilimanjaro;\

Amesema utengenezji pombe umezidi kushamili. Amesema kuna mtandao mkubwa wa wapika gongo kiasi kwamba wakikamatwa muda si mrefu wanaonekana mitaani.

Waziri Magembe ameunga mkono na kusema watendaji kata ndio tatizo. Hilo tatizo linahitaji nguvu ya kiroho na kiserikali, haswa iliyopo chini ya JPM.
He yeye anafanya kazi gani. Jamani mbona makubwa haya!
 
Hivi kweli kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani anaomba msaada kwa rais kwa suala la gongo? Basi tuna kazi wabongo. Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa. Madiwani polisi jamii , polisi nk wanafanya kazi gn. Huyu naye anataka kuwa jip
Ni Jipu tayari Mkuu!
 
Machagadema bwana....!!!!
We mbowe , nyie si ndo washindi kwenye majimbo yote ya uko....,,,??
Acheni mzaha
Yaani Jpm aongee na walevi.....???

Acha utani dj.
Apo peleka mziki mkubwa na mastaa unao kina prof jiize na sugu....!! Walevi lazma wawaskilize

Mi napita tu
 
sasa mwenyekiti wetu mbowe, kama GONGO tu, tumeshindwa kupambana nayo mpaka tunaomba kampani kwa magufuli, je CDM tungekabidhiwa nchi tungeweza kupambana na MADAWA YA KULEVYA? au tungeomba kampani kwa Donald Trump
 
Ndio maana Wachagga wengi ni walevi walevi, wahuni wahuni, wezi wezi kumbe matatizo yao chanzo chake kikubwa ni gongo. Lakini mimi nimecheka sana eti Rais apambane na wauza gongo wa Kilimanjaro. Hii imekaa vipi mbona utafiti unaonesha gongo ndio inachangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro ambayo Wachagga wanajivunia. Sasa bwana Mbowe unamaana wewe hulijui hili? Kumuomba Rais apambane na wauza gongo unataka kurudisha nyuma maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro?
 
Gongo! Kilimanjaro wanakunywa watu wasioona faida ya nguvu kazi ya miili yao hasa wazee na vijana wachache wasiojitambua nawapenda sana vijana wa kule wanajituma kwelikweli nilishangaa kumuona kijana aliokua anamiliki baiskeli ya kubebea mizigo sasa anamiliki bodaboda moja na noah mbili za Rombo to Tarakea. Amaizing.
 
Back
Top Bottom