Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Daaah kweli jamaa sijui ni bubu au ni kigugumizi........kila nikimtathmini namuona hafai tu,dadekiiii!
 
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,

Inawezekana Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama wewe unavyokukera na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.

Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.

Unat nn zaidi ya kujitetea kwake na miaka yote saba kakakimya ili aje atudangaje miezi michache ilio baki pia atuambie chanzo cha utajiri wake na kwann anawaunga mafisadi wenzie mko Kama kabadilika unajua karamaji wewe au umevamia siasa?
 
Last edited by a moderator:
Ulishawwhi kuona kesi ya kuku anapewa mwewe ahukumu? Kesi ya ufisadi unampa fisadi ahukumu, unafikir hukumu itamfavor kuku kweli, ni wazi mwewe atamfunga kuku. Sasa lowasa ni fisadi, aaze tu kuwakemea mafisadi wezake, hiyo haitatokea maisha.
 
Friend wa Chenge, Karamag na Rost tam kweli ujasiri wa kuchukia rushwa jamani!k!! Mimi sidanganyiki mkitaka mchagueni kwa njaa zenu!
 
Safari ya matumaini du!. Hatutaki kuishi kwa matumaini tunataka uharisia. Ati anachukia umaskini atagawa fedha kwa Cheyo?.
 
Naona watu wanashadadia Tu kumshabikia lowasa, akiwa rais tutajuta nchi hii..tutaona heri hata ya kikwete..lowasa hafai kabixaa kuwa rais kuanzia ye mwenyewe hadi team inayo mback up Ni hatari tupu.
 
Tusipokuwa makini watz wenzangu kuna miaka 10 mbele ya mateso na umasikini mkubwa tuwe makini katika kudahiri hawa watangaza nia
 
Unat nn zaidi ya kujitetea kwake na miaka yote saba kakakimya ili aje atudangaje miezi michache ilio baki pia atuambie chanzo cha utajiri wake na kwann anawaunga mafisadi wenzie mko Kama kabadilika unajua karamaji wewe au umevamia siasa?
Tatizo lake kubwa ni ukimya wake ambao Mbowe ameuita ububu, ububu wake ndio uliowapa mwanya maadui zake kummaliza,

binafsi nilikuwa najiuliza tabia yake ya kukaa kimya hata bungeni (zaidi ya miaka 7) ni adabu kwa chama, swahiba wake au woga, sometimes nilidhani ni ujinga kwa sababu upole au uoga ukizidi sana huonekana kama ujinga, lakini bado nampa room ya kubadilika.
 
Last edited by a moderator:
sisi kina gogo la shamba tulishasema kipimo kizuri cha kumpata Rais wa nchi hii ni kumuangalia pamoja na mambo mengine alisema nini na alikuwa upande gani kwenye sakata la wizi wa Escrow?
 
Tumwombe Mungu atupe kiongozi mzuri tena mcha Mungu kwa mustakabali wa taifa letu. Watanzania wenzangu tuungane kukataa ufisadi na mafisadi kuingia magogoni; ofisi kuu ya umma
 
Safari ya matumaini du!. Hatutaki kuishi kwa matumaini tunataka uharisia. Ati anachukia umaskini atagawa fedha kwa Cheyo?.

Kwanini tuishi kwa matumaini kwani sisi ni waadhirika wa HIV na UKIMWI? Hawa jamaa sijui wanatuonaje watanzania

Safari ya matumaini ya nini? Kwani sisi waadhirika wa HIV na ukimwi tuanze kuishi kwa matumaini?

Jamaa wanaojiita friends of Lowasa hawana hoja kabisa zaidi ya kusema anayo pesa atatutoa.

Safari ya matumaini inamaana hii nchi tumekuwa waadhirika wa UKIMWI na HIV tuanze kuishi kwa matumaini?
 
CHADEMA wanamuongelea mtu ambae hata hajateuliwa na chama chake kugombea, ni dalili ya kumuogopa.

Ungetegemea wapinzani wajikite kutafuta mgombea wao, au kama wa kwao ni wale wale wanajulikana miaka na miaka basi wakae kimya badala ya kufanya siasa zinazochagizwa na kinachoendelea kwenye siasa za ndani za C.C.M.

Kwa sababu kama Lowassa ni dhaifu na bubu kwa nini usikae kimya uombee ateuliwe ili uje umshinde? Hofu imetamalaki upinzania kwamba Lowassa ambae "anaeakisi mambo yanayowachukiza watu" akivuka tufani la upinzani ndani ya chama chake halafu akaja akatumia bendera ya C.C.M. kushinda Urais basi ndio mwisho wa upinzani nchini.
 
Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah pana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapifaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.

Kweli kabisa,hakusema lolote.ila kuna kipindi akasema
Tuko tayari kuingia vitani na Malawi ,kipindi kile cha mgogoro Kati ya TZ na MALAWI.watu wakamuuliza yeye ndiye yupo tayari ama sisi Watanzania .
 
Lowasa toka nianze kumfahamu hajawahi kukemea rushwa wala ufisadi.bado anasema ooh nautaka urais
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom