Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
lowasa ni vizuri akapumzika na kuendelea kupata pension yake ya uwaziri mkuu mstaafu japo hakustahili. watanzania masikini wa fedha lakini matajiri wa fikra hawako tayari kuona ikulu yao inamilikiwa na mapacha watatu kamwe. lowasa sio bubu tu bali hafai kwenye taasisi nyeti kama ya urais..
Nadhani, sahihi ni waziri Mkuu aliejiuzulu...
 
Huu uzi unasaidia kupunguza joto la mikataba ya ovyo iliyopitishwa na wazee wa woyee au?
 
aaa
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Nilishawaambia toka awali kuwa huyo mzee atawavuruga, hilo sawa na jini sijui mtamuachaje.
 
Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah mapana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapigaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.
Wakati wa escrow inajadiliwa bungeni,
mh.sana wa sasa hivi alitoa kauli gani nzito?
 
Kampeni ni kampeni tu
so tupuuze kila msemacho wakati wa kampeni sababuhuwa NI KAMPENI TU!nilianza na kuwaamini kabisa nyie jamaa kumbe mnweza badiili hata kabila kwa maslahi yenu binafsi.
hamstahili kuraya ngu na kwakweli bado hamstahili kuongoza dola!
 
Hawa jamaa wengi wao humu hutumia vichwa kuteganishia masikio tu.

Nafuu ya bendera.
 
Sasa ndio unaona?? Unakumbuka udharura uliofanya? Badala ya kumweka mwanafalsafa (Silaa) mkaruka mkojo ukakanyaga mavi. Mpinzani wa kweli kutoka rohoni ni Silaa, mmeshindwa kumtumia, kwa kua haangalii makunyanzi huenda aliwapiga vijembe vya ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom