Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Hizo ni mbonu za kisiasa tu, yeye anachota ramani ya vita na ana finance watendaji wengine, kwani Deus Mallya hakukamatwa? Mnyika ndiyo akawa wa kwanza ktk vyombo vya habari eti ni mtu wa ccm, leo hii Mallya yuko makao makuu ufipa. RIP Chacha Wangwe

Hivi kwa kujibu wa sheria za nchi, anaetenda kosa na anae-finance kutenda kosa (na ikithibitika kama unavyodai) wote si huwa na makosa na huwa charged kwa makosa yao?

Nikushauri kitu kututendea khaki sie raia wema, peleka hivi vithibitisho vyoote Polisi wachukue hatua zinazostahili. Kuongelea hapa JF hakutasaidia sanasana utaonekana unaongea porojo kumbe yawezekana waongea mambo yenye manufaa

If you can't itatoa tafsiri mbili
1. Unayoongea sio kweli bali kichafuana kisiasa

2. Huiamini serikali yako na vyombo vyake
 
Stop pretending...You don't know anything about me.

dbp.jpg
 
ccm wakiendekeza huu ujinga wa kila hoja inayoibuliwa na wapinzani kujadiliwa bungeni watafanya makosa makubwa sana
 
acha porojo hayo majengo ya walipa kodi mmeyageuza assets za ccm huon kwamba nao ni ufisadi

Ruzuku yote hiyo mnashindwa kununua nyumba kinondon mil 200? Mbona fuso mlinunua mil600? Hata TLP wanawashinda wana nyumba yao magomeni usalama.
 
Hizo ni mbonu za kisiasa tu, yeye anachota ramani ya vita na ana finance watendaji wengine, kwani Deus Mallya hakukamatwa? Mnyika ndiyo akawa wa kwanza ktk vyombo vya habari eti ni mtu wa ccm, leo hii Mallya yuko makao makuu ufipa. RIP Chacha Wangwe
Mnyika ndiye aliratibu na kusimamia kila kitu hata simu ya kumjulisha mbowe juu ya kifo cha chacha wangwe wakati akiwa Africa kusini kwenye nyumba yake aliyonunua kwa pesa za Ruzuku ilipigwa na Mnyika baadae mbowe akafanya pat ya kushukuru chacha kwenda Ardhini na kumpisha azitumbue pesa za chama pasipo bugudha wala kerere.
 
Hivi kwa kujibu wa sheria za nchi, anaetenda kosa na anae-finance kutenda kosa (na ikithibitika kama unavyodai) wote si huwa na makosa na huwa charged kwa makosa yao?

Nikushauri kitu kututendea khaki sie raia wema, peleka hivi vithibitisho vyoote Polisi wachukue hatua zinazostahili. Kuongelea hapa JF hakutasaidia sanasana utaonekana unaongea porojo kumbe yawezekana waongea mambo yenye manufaa

If you can't itatoa tafsiri mbili
1. Unayoongea sio kweli bali kichafuana kisiasa

2. Huiamini serikali yako na vyombo vyake

Pole sana endelea kuwasikiliza hawa jamaa? Ipo siku wataambia mje na wake zenu, hawafai kuongoza nchi hata wiki moja.
 
duu!jmaa kapendeza sana.minatamani anapoperekwa mahakamani afarie namna hiyo.iri kuhamasisha wana ccm namna ya kumuunga mkono.hongela sana kiongozi umeturia nchi utapewa iri uwe raisi
 
Ruzuku yote hiyo mnashindwa kununua nyumba kinondon mil 200? Mbona fuso mlinunua mil600? Hata TLP wanawashinda wana nyumba yao magomeni usalama.

Pesa zote anazimeza Mbowe kisha anawatapikia kidogo, Slaa na cc wake, hawajengi ng'o mpaka Mbowe anunue nyumba zingine Africa kusini maana anaona moja haitoshi.
 
Back
Top Bottom