Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,584
105,643
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka muda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu wizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon.
 
Kamanda mpaka watatutuelewa tuu hawa mchwa wa lumumba ni ufisadi tu mpaka kutuletea hawa
 

Attachments

  • IMG-20141225-WA0103.jpg
    IMG-20141225-WA0103.jpg
    14.4 KB · Views: 7,304
Chadema ni mpango wa Mungu kulikomboa Taifa la Tanzania kiukweli,, hakika Mungu endelea kuwaumbua wote wasiokuwa na huruma hat kidogo kwa watu wako na nchi yako......
 
Mbowe kwa kulipua ndiyo fan yake kama alivyolipua mkutano Arusha, ila kwa bomba la gas aangalie asije akapoteza maisha si unajua gas inalipuka vibaya?
 
Back
Top Bottom