Hivi Dar ni kaskazini? Si wanasema hiki chama ni cha kaskazini tu?
Ohooo chama! chama gani chama cha wananchi Cuf! - X 2....mapanga shaa shaa!
Sasa hakuna cha ngangali wala jino kwa jino mmebaki mavi matupu. RIP CUF!
Ohooo chama! chama gani chama cha wananchi Cuf! - X 2....mapanga shaa shaa!
Sasa hakuna cha ngangali wala jino kwa jino mmebaki mavi matupu. RIP CUF!
Achananae huyo...chama chake cha cuf kimejinyonga chenyewe kwa kufunga ndoa na ccm. RIP CUF!Ukabila, Ukanda ndo unavyo viwaza katika kichwa chako hata kutizama kalenda tu kufahamu Tar. 26/05 ni siku ya Jmosi umeshindwa! Acha kukurupuka
Asante kwa taarifa karibuni Dar es Salaam.
posho posho posho mbowe na slaa kila wakiishiwa pesa lazima waandae mikutam na maandamano ili walipane
posho posho posho mbowe na slaa kila wakiishiwa pesa lazima waandae mikutam na maandamano ili walipane
all the best makamanda tutang'aa pande hzo
Hivi Dar ni kaskazini? Si wanasema hiki chama ni cha kaskazini tu?
Tunashukuru, na nyie karibuni Mwanza na Arusha!
TUMBIRI wa JF.
Tumesubiri muda mrefu sana kupata hii fursa adhimu kusikiliza wanamageuzi, tunaomba Mnyika mtupe taarifa za kina kama mkutano utaanza saa ngapi, wapi tukanunue magwanda, bendera nk,
posho posho posho mbowe na slaa kila wakiishiwa pesa lazima waandae mikutam na maandamano ili walipane
Ndo maana nlikutana na lema himo hapo jana on the waya 2 dar
Wananchi wa Dsm msituangushe,asante kwa taarifa
Hivi Dar ni kaskazini? Si wanasema hiki chama ni cha kaskazini tu?
ohooo chama! Chama gani chama cha wananchi cuf! - x 2....mapanga shaa shaa!
Sasa hakuna cha ngangali wala jino kwa jino mmebaki mavi matupu. Rip cuf!
Redio ya Arusha mambo mtarusha matangazo live ili wa mikoani tupate matangazo live? Wahusika naomba mtujuze ili kam hayatarushwa live na sisi tujisogeze dar. Tafadhali wahusika tunaomba majibu
Kamanda Lema awepo jamani yeye ni kama kachumbari kwenye pilau.