Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

Nina imani Ritz na Rejao lazima wavue Gamba!!

Mh!! Sijui ni lini CCM nao watafanya mkutano mkubwa Arusha, Mwanza na Mbeya!!
 
Ohooo chama! chama gani chama cha wananchi Cuf! - X 2....mapanga shaa shaa!
Sasa hakuna cha ngangali wala jino kwa jino mmebaki mavi matupu. RIP CUF!


Duh!! Mkuu umenikumbusha mbali sanaaa!! Sasa ivi nikiwaona hawa CUF natamani niwameze!!
 
Ukabila, Ukanda ndo unavyo viwaza katika kichwa chako hata kutizama kalenda tu kufahamu Tar. 26/05 ni siku ya Jmosi umeshindwa! Acha kukurupuka
Achananae huyo...chama chake cha cuf kimejinyonga chenyewe kwa kufunga ndoa na ccm. RIP CUF!
 
Tumesubiri muda mrefu sana kupata hii fursa adhimu kusikiliza wanamageuzi, tunaomba Mnyika mtupe taarifa za kina kama mkutano utaanza saa ngapi, wapi tukanunue magwanda, bendera nk,

Ratiba yote ya mkutano mtapewa ndani ya wiki hii.Pamoja sana mkuu wetu.
 
Ndo maana nlikutana na lema himo hapo jana on the waya 2 dar

Lema wiki hii kabla ya Jumamosi atazungukia Sengerema,Mwanza na Singida.Baada ya hapo atatua Dar kuungana na viongozi kwenye mkutano wa Funga kazi Jumamosi
 
Angalizo kwa Chadema pale jangwani kuna ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi wangetafuta uwanja mwingine pale kwa sasa sidhani kama panafaa...ni ushauri tu.
 
Redio ya Arusha mambo mtarusha matangazo live ili wa mikoani tupate matangazo live? Wahusika naomba mtujuze ili kam hayatarushwa live na sisi tujisogeze dar. Tafadhali wahusika tunaomba majibu

Nadhani watasikia kilio chako mkuu.Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom