Mbowe ataka JK avunje baraza la mawaziri

Hakuna cha ulevi hapo huyo jamaa amesema kweli huwez kutoa soln ya tatizo kwa mwenzio wakati nawe una tatizo kama hilo. Kama mnakumbuka muafaka wa Arusha kama isingekuwa hapa JF Kupiga kelele ule muafaka ungeendelea na hata baadhi yenu mlishaanza kuukubali.
Sijawahi kuona mmasai mjinga, ww ndo wa kwanza.
 
Umeaandika vizuri mkuu, lakini unatarajia kupata 'positive comments' kutoka kwenye forum ambayo imejaa MAGWANDA tupu? Hawa jamaa ni wazuri sana kwa kuona kibanzi kwenye macho ya wenzao ilihali macho yao yana boriti, ambayo kiumbo ni kubwa kuliko kibanzi.
 
Hakuna Mkurya jinga wewe, usijiit Mwita! tafuta jina jingine, labda nnauye hivi!
 
Hakuna cha ulevi hapo huyo jamaa amesema kweli huwez kutoa soln ya tatizo kwa mwenzio wakati nawe una tatizo kama hilo. Kama mnakumbuka muafaka wa Arusha kama isingekuwa hapa JF Kupiga kelele ule muafaka ungeendelea na hata baadhi yenu mlishaanza kuukubali.
Usihofu swala la shibuda linashughulikiwa ndo maana shibuda aliporopoka viongozi wa chdema hawakukaa kimya kama JK walisema msimamo wao lakini hawewizi kumfukuza kinyamera lazima haki itendeke. Kumbuka jana Dr. Slaa kalifafanua hili vizuri kabisa. CDM hawamwogopi mtu ndugu yangu!
 
Kama ulimsikia Dr. Slaa vizuri anasema hawajapata taarifa zozote za malalamiko kutoka Kambi rasmi ya upinzani bungen juu ya shibuda hivyo hawawezi kuamua lolote mpaka KRUB wawape taarifa. we huo
 
Kama ulimsikia Dr. Slaa vizuri anasema hawajapata taarifa zozote za malalamiko kutoka Kambi rasmi ya upinzani bungen juu ya shibuda hivyo hawawezi kuamua lolote mpaka KRUB wawape taarifa. we huo

Kambi maalum bungeni inaundwa na chama gani? Hivi kamati kuu ya CDM ina comprise wabunge au wametenganishwa?
 
Kambi maalum bungeni inaundwa na chama gani? Hivi kamati kuu ya CDM ina comprise wabunge au wametenganishwa?
Mkuu hakuna kambi maalumu bungeni bali kuna kambi rasmi ya upinzani bungeni na inaundwa na Cdm. KK Cdm inacomprise Wabunge.
 
AIsee
kamati kuu kumuundia kamati ya kumchunguza SHIBUDA ndio HATUA? toka Mnyika apendekeze kwa KK juu ya shibuda So kuunda TUMe ndio hatua? toka Shibuda alopoke ni hatua gani amechukuliwa? tume si hatua... So kwanini asingemshauri Rais aunde tume ndogo kufatilia kama yeye alivyofanya?
My take Shibuda ang`olewe

Kaka,nadhani hujui ni kitu gani kilichomkuta Shibuda toka atoe kauli tata, au toka ameunga mkono sherehe za JK kuapishwa.. CDM ni makini, na kila anayekosea lazima awajibishwe.. Shibuda aliitwa kwenye kamati akajieleza kwanini kwanza siku ya kususuia hotuba ya JK hakuwepo mjengoni na bila taarifa, na pili kwa nini alihudhuria sherehe za kumpongeza JK. Hizo ni serious actions/measures ambazo CCM hawawezi kuzichukua hata pale SIX anaporoka hadhani na Mwakyembe kuiponda serikali, au kuwa kinyume na CCM. Nadhani unabidi uwe mdadisi , alichoongea Hon. Mbowe ni sahihi kabisa na ni wajibu wake kumkumbesha JK nini cha kufanya, coz JK kashindwa kazi na serikali yake legelege. jana kamati kuu ya CDM imeunda kamati na maazimio yake lazima tutayasikia, hakuna kumaliza mabo kimya kimya, but CC,M hawawezi fanya hivo coz kila member ni mchafu, hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole, au kukemea...wewe mwenyewe unayajua hayo, na unayaona kla siku..semina elekezi, warsha, pavilions, safari za nje, zote hizo ni uchafu, jana wameumbuka Jairo naye, tena nadhani MAAGIZO ya JAIRO ni order kutoka kwa mawaziri husika. CCM imeoza, JK bomoa baraza la mawaziri, lasivyo utaumbuka b4 2015!
 
Kama hujui kitu ni bora ukauliza ukaambiwa kuliko kukurupuka na kutoa hukumu, mbowe alikua sahihi kabisa kumwambia jk hivyo kwa sababu mawaziri wote wa serikali wameteuliwa na rais na mamlaka ya kinidhamu ya waziri ni rais,yaani rais ana mamlaka ya kuteua na kufukuza waziri wakati wowote bila kuomba ushauri na waziri hawezi kulalamika popote ikiwemo mahakamani, kwenye chama cha siasa hasa chama makini kama cdm mwenyekiti wala katibu mkuu hawana mamlaka ya kufukuza mtu ubunge, udiwani hata uanachama mamlaka ya kufanya hivyo yako kwenye vikao halali vya chama katika kila ngazi, kuanzia ngazi ya tawi mpaka taifa ambayo kamati kuu ianweza kumjadili mtu na kutoa adhabu na mtu huyo asipolidhika atakata rufaa kwenye baraza kuu au mkutano mkuu, sasa kuhusu ishu ya shibuda na madiwani wamejadiliwa kama dr slaa alivyowambia wandishi jana na hatua mbalimbali zimechukuliwa kuhusu madiwani kamati kuu imewataka kuachia vyeo vyote walivyopewa kama watakaidi hatua zingine zitafuata, kuhusu shibuda soma katiba ya cdm sehemu ya nane inayoeleza hatua za kinidhamu kwa wabunge madiwani wa cdm wanapokosea ndio maana kamati kuu imeunda kamati ndogo kwa matakwa ya katiba ya cdm na kuipa hadidu za rejea ili ikafanye uchunguzi alafu walete mapendekezo kwenye kamati kuu, kamati ndogo iko chini ya prof safari, lazaro masay ,john heche ,said mzee mwanasheria dk edson mbogoro na ester daffi sasa kwa taarifa yenu cdm haiwezi hata mara mmoja kukurupuka bila kufuata katiba ya chama alafua magamba mmpate nafasi ya kusema chama ni mali ya watu fulani, hatua zote zitafuatwa na kila mtu atapata haki yake.
 
AIsee
kamati kuu kumuundia kamati ya kumchunguza SHIBUDA ndio HATUA? toka Mnyika apendekeze kwa KK juu ya shibuda So kuunda TUMe ndio hatua? toka Shibuda alopoke ni hatua gani amechukuliwa? tume si hatua... So kwanini asingemshauri Rais aunde tume ndogo kufatilia kama yeye alivyofanya?
My take Shibuda ang`olewe

Kumbe kwako kuchukua HATUA ni kupi?!
 
Ishu ya Shibuda na ishu ya mawaziri ni ishu mbii tofauti. Hata athari zake ni mbili tofauti. Uwe unajaribu kutumia akili japo kidogo, ukitumia makalio kufikiri ndo unaleta upupu kama huu

Nakubaliana na wewe ndugu yangu. Kuna watu wanafikiri kwa miguu na kutembea kwa kichwa. Kazi kweli kweli!
 
Unajua Mh Shibuda anajiona yuko juu ya chama. Ajiona kama amesaidia Chadema na hawawezi kumfanya chochote. Hajui kwamba anajitia kitanzi cha kisiasa. Kama anataka kufanya atakavyo basi aunde chama chake kama Momose wa Bariadi. Au ajiunge na Momose waendekeze ukabila waone kama watafika mbali. Lakini hata hivyo issue ya Shibuda haifungamani na ile ya kina Six kuropoka ovyo against their colleague MInisters.

Kina M'kyembe na Sita wanajikosha lakini ukweli ni sehemu ya tatizo. Serikali ya CCM ni corrupt ukiwa ndani lazima ucheze mziki huo huo huna ujanja. Ndio maana JK aliwatega wakategeka vizuri sana. Wakitemwa kwenye baraza watakuwa hawana cha kwao. Walitakiwa kupima mapema na kukihama chama hicho kama kweli wanaumia mateso ya mtanzania kwa dhati. CCM imeota kutu mbaya. Kinakwenda shimoni na hakuna wa kukiokoa. Ukijaribu kukiokoa utakufa nacho. Ni wakati wa mabadiriko, kila anayeyapinga ataachwa nyuma. Kina Sita na Mwakyembe ni watu wabaya sana. Ni wanafiki wakubwa. Hawawezi kuleta mabadiliko ya kweli kwa kubaki CCM. Ni watu wanoopenda ulaji tu. Wanafuata tonge liko wapi. Si watu wanaoweza kuifia nchi hii hata kidogo. Si mtaji kwa CCM iliyo corrupt na wala si mtaji kwa wapinzani. WIZI MTUPU!
 
Back
Top Bottom