kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Huyo atakuwa mwenyeji wa Igunga.Hakuna Mkurya jinga wewe, usijiit Mwita! tafuta jina jingine, labda nnauye hivi!
Huyo atakuwa mwenyeji wa Igunga.Hakuna Mkurya jinga wewe, usijiit Mwita! tafuta jina jingine, labda nnauye hivi!
Kwa ujumla hivi ni viti viwili tofauti kama wadau walivyosema.
Mosi, Sitta ni waziri, Shibuda ni Mbunge. Mmoja anaongozwa na kanuni na mwingine anaogozwa na Kiapo alichoapo kwa Rais.
Pili, Tayari hatua imeshachukuliwa dhidi ya Shibuda na kamati kuu. Kwa mujibu wa katiba yetu hatuwezi kukurupuka kumtimua tu. Iko michakato iliyoelekezwa na kanuni na katiba yetu. Ndo hiyo iliyokwishaanza kutekelezwa kwa kuundwa kwa tume hiyo. Period.
Swali,
CCM ya Lowasa na Sitta ni mmoja? Na Kikwete yuko upande gani kati ya hayo makundi?
Mkuu kwa Speed ya Chadema ni Zaidi ya chama na ni zaidi ya serikali hii regeregeUkiona mtu amefikia hatua ya kulinganisha serikali na chama katika maamuzi na utendaji basi anatatizo la ki-magamba
Siyo Tanzania.Hii ingekuwa kwa wenzetu serikali nzima ilitakiwa ijiuzuru kupisha uchaguzi mpya
Umenena! Lakini je kuna issue iliyowazi 100% ya kuiondosha serikali iliyopo madarakani?Hii ingekuwa kwa wenzetu serikali nzima ilitakiwa ijiuzuru kupisha uchaguzi mpya
Nakuhakikishia hii issue ni tosha kabisa 100% bila chenga kwa Pinda kuitosa Kaole Government.Umenena! Lakini je kuna issue iliyowazi 100% ya kuiondosha serikali iliyopo madarakani?
Umenena! Lakini je kuna issue iliyowazi 100% ya kuiondosha serikali iliyopo madarakani?[/QU
kaka unataka mpaka upumlie mashine?