Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

wabunge wa cdm wasanii sana pamoja na viongozi wao, wamejifanya kakataa posho halafu wanazunguka mlango wa nyuma wanadhaminiwa na ofisi ya katibu wa bunge wanachakuwa mikopo benki, juzi tena mmepata pesa si mgekataa kuchukuwa zile milioni 90, mlizochukuwa! Ni sawa sawa unasema nguruwe halamu wakati unakunywa supu yake, acheni usanii unakopa ili iweje wananchi wamekutuma bungeni kwenda kukopa?

wewe kenge nini, ni kama vile una akili za ku download. Kwani kukopa ni dhambi? Nini maana ya mkopo? Ulitaka wasikope waibe?
Ccm hawakopo kwa sababu wanajua pakuzichukulia.

Na kama huna point kaa kimya, au kalale. Kenge wewe
 
1) Waziri. Edwin Mtei au sio yeye?2) Mbowe anaruihusiwa kurithi mali ya Mkwewe? Unafikir yuke Dokta kalala? Anaakii X 1,000,000 kuliko Eziraeli.

ndio anaruhusiwa,au unatakaje? Je we mmeo atarithi nini kama sio iyo pentium II uliyopewa lumumba ili uingilie jf? Yule ni mke wake bwn au vp? Yah. Behind every successiful man,there is a strong woman behind . Note: this is mulfunctional in ur family!
 
weka sawa akili yako wewe:1) mbona hata walio sio matajiri wanaulizwa vyanzo vyao vya mapato? Tuimeshaona ridhwan akisemwa sana humu, wakati baba'ke ni rais, tumeshaona january akisemwa sana humu wakati babake ni mtumishi wa umma miaka nenda rudi. Sasa leo tukiuliza mbowe mali kairithi kwa nani, inakua mwao? Wakati baba'ke na mkwewe walikuwa watmishi wa umma? Tena wakati wa nyerere? Walikuwa hawaruhusiwi hata kuwa na nyumba ya kuwekeza. 2) unalo?

ningekuwa mimi ni wewe ningeenda kulala, hao unao watetea saivi wanakula kuku huko malesia. Wewe unahangaika bure na huoni uko peke yako humu? Wewe mchawi nini.

Badala ya kupinga kawaambie ccm na wao wafanye hivi.
 
Wewe kama ulikuwepo utakumbuka na kama hukuwepo kuna watu waliokuwepo toka hii Forum ilipokuwa Jambo kabla ya Jamii, wao watakumbusha. Au Brazameni anaweza kufufka akamwaga vitu hapa. Unanchekeshaa!
wewe faizafoxy ni janaume wala sio janamke kama hiyo avatar inavyoonyesha,wanawake wenye akili mbovu tz ni wachache tu kama anne kilango,sophia simba,celina kombani,
 
ritz ukubali usikubali uelewa wako upo chini sana, hapo tatizo sio mkopo tatizo ni mfumo ulioweka maslahi ya mbunge kuwa makubwa kiasi cha kumruhusu kukopa kiasi hicho cha fedha, kwani akikopa kurejesha si anarejesha yeye kutokana na kipato chake . na hilo ndilo linalopigiwa kelele kuwa yapunguzwe maslahi ya wabunge ! tutachoka sasa kuelimisha jamani
 
ritz kwanza nkupongeze kwa ushujaa,we niwa kwanza nimesikia unatumia supu ya mnyama nguruwe. Ila ritz ujue mikopo inayolipwa au kuchukuliwa benki ni sahihi,kwanza huchukuliwa benki,yan commercial banks. Hapa tujadili ki uweledi. Ujue hata mwanangu wa std6 anakuzidi kujua kuwa mikopo urudishwa,hata mtu akija kukopa chochote kwetu uwa nasikia anawaimiza kurudisha. We uko std ipi jamani?
Tatizo sio kujua mikopo urudishwa vipi.Hivi wakati wabunge wanafanya kampeni kuomba wananchi wawachague kwenda bungeni kueleza kero zao, wananchi wamewachagua kufika bungeni wanakopa pesa ambazo aziendi jimboni wanakula na familia zao, mkopo sio tatizo pale bungeni umekwenda kwa nguvu za wananchi tena wewe mbunge ndio umewaomba wakupigie kula, unadhani wananchi wangejua mapema kama wabunge tunaowachugua wakifika bungeni wanaomba mikopo binafsi nani angewachagua labda wewe na CDM-Kata wenzako
 
Hamna ubunifu babuwee, vitendo vya kukataa gari kavianza Pinda. HeEeeeee! Ishakuwa sera kwenu?
Pinda kakataa jipya ila bado anatumia 'shangingi' issue hapa ni kuachana na mashangingi na kutumia magari ya bei nafuu. Pinda na wenzake wataweza?
 
Mimi natofautiana na wana-CCM wenzangu, naamini Nape ataniunga mkono kwa hili; well done Freeman (Mbowe). Now it's your turn Nimrod (Mkono) and Jenista (Mhagama) to set pace on CCM behalf, rudisheni hayo 'mashangingi' mrudishe heshima kwa wananchi walalahoi. The time for change is now, or never! CCM MP's, wake up!
 
Historia itakuhukumu na upupu wako unaondika, huyu bwana sio maskini kama unavyofikiri hafanyi siasa kwa njaa, tatizo lenu mnafikiri mtatawala hili taifa milele,, unanifanya nimkumbuke BAB MOI NA TANU, nyie ni watu amboa kila kukichamnajifanya mnaishi ahera, ina maana wewe kupanda kwa garama za maisha hakujakuadhiri?
Yaelekea nyie ndo wale mnaoishi kwa kutegemea sahani za ubwabwa mnazopewa na hoa waliowatuma,,,hata Mbowe akirudi kijijini kwao leo hawezi kufa njaa, Vogue jamaa wameanza kuendehs hata kabla wewe hujajua kuna gari kama hilo

Mnakera saana, na sijui mtaona mwanga lini

Put her/him/it in "ignore list" upate kusoma contribution za Great Thinkers pole sana kuthubutu kubishana na ******
 
Wewe unaona mkopo ni mzuri? Wananchi waliwachagua kwenda bungeni kukopa!! Huwo mkopo unakwenda jimboni kwako au unakula wewe na familia yako?
Hivi wewe umeishia darasa la ngapi? Hivi unajua maana ya chukua na kukopa. Kukopa ni makubaliano ilikuwe na mrejesho lakini chukua haijulikani kama kuna makubaliano au marejesho. Sasa kukopa ni hiyari ya mtu hata wewe katika maisha yako huwezi kuishi bila mkopo. Haya mashangingi ni nani anayagarimia kila kitu mpaka manunuzi ni wananchi mpaka mafuta na matengenezo. Wakati wananchi mashangingi yao wanayopewa ni maji ya kuharibu miili yao na kuwaharibia maisha yao, kutembea na kanda mbili mpaka inakatikia kisiginoni. Wewe kama unaishi TZ unafanya makosa makubwa sana mwambie bosi wako akuajiri kwenye ofisi yake aliyofungua kwenye ndege.
 
Babake alikua mtumishi wa Umma wakati wa Nyerere na mkwewe halikadhalika, sasa huo utajiri aliourithi yeye kautoa wapi? Au wale wazee walikuwa mafisadi toka enzi za nyerere?
Kuhoji umefanya vema lakini inavyoonyesha hukumfahamu vema mzee Aikaeli Mbowe labda ungedadisi kabla ya kuchemsha ili uwe na mashiko. Kama ni ufisadi yawezekana aliufanya kabla ya uhuru!
 
Jamani, hii inawahusu wote wanatumia magari ya serikari..kama mawaziri na watumishi wa umma? nk
 
Tatizo sio kujua mikopo urudishwa vipi.Hivi wakati wabunge wanafanya kampeni kuomba wananchi wawachague kwenda bungeni kueleza kero zao, wananchi wamewachagua kufika bungeni wanakopa pesa ambazo aziendi jimboni wanakula na familia zao, mkopo sio tatizo pale bungeni umekwenda kwa nguvu za wananchi tena wewe mbunge ndio umewaomba wakupigie kula, unadhani wananchi wangejua mapema kama wabunge tunaowachugua wakifika bungeni wanaomba mikopo binafsi nani angewachagua labda wewe na CDM-Kata wenzako

kwanza nikutakie usiku mwema kabla sijalala,nsije kuishia njiani bila kukuaga. Pili nataka nikueleze kuwa mikopo ktk ubunge ni by product,pia wakati wa kuombea kura hatuangalii mbunge anaenda kupata nini,ila anaenda kutusaidiaje? Ubunge kuna mkataba kama wengne tu. Kwa iyo mtu lets say bank ofisa,akienda kuomba kazi haendi kuomba kukopeshwa ili mkopo ni stahiki yake. Mkuu usibishanie mikopo utaonekana wa ajabu ndugu,pia nkujuze kuwa taifa letu linaencourage watu wakope wapate maendeleo. Dunia nzima hamna atakayekaa akapinga kukopeshwa isipokuwa ritz peke yake. Nikupongeze tu kuwa wewe,faiza fox,ms n.k mna utaalam wa kuwaondoa watu kwenye mjadala,na kuwahamishia kwenye malumbano. Mkuu usiku mwema.
 
Back
Top Bottom