VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,356
Hata kama alivianzisha Rostam who cares???, cha maana ni kwamba hii ni gesture ya kunusuru kodi zetu.., au wewe mwenzetu ulipi kodi au hauna machungu na hili taifa??..., Honestly sioni kwanini mtu atetee huu ufajaji unless na yeye anafaidika na huo ufajaji...Hamna ubunifu babuwee, vitendo vya kukataa gari kavianza Pinda. HeEeeeee! Ishakuwa sera kwenu?