Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Safi kabisa,sasa kazi imeanza,cdm ni vitendo tuu,waache magamba waendelee na porojo moto waja sasa!
 
Huyo si anamuiga Pinda? Au hamjui Pinda toka lini kalikataa VX? Mnanshangaza!
 
Du...!Bravo!Nchini Burundi huu ndiyo utaratibu uliotumika!Ilianza kama mzaha, lakini baadaye kweli kabisa viongozi wote waandamizi serikalini walilazimika kurudisha mashangingi, chini ya usimamizi wa Kamanda Kagame!****** uko wapi?...wanaume washakuanzishia kutafuna, meza sasa!
Nchini Burundi....kamanda Kagame.....! Hapo umechanganya habari kidogo.
 
HahAaaaa, unanchekesha babuwee, hata mkjj ana I'd zaidi ya moja humu na saa zingine anajijibu mwenyewe. Niwache kama nilivyo na nilishatangaza zamani kuwa nipo humu kabla ya wengi sana, nipo humu toka Jambo babuwee unanini?

weee shindwa!
 
Anatafuta uraisi 2015 kwa kila njia! Ameona Zitto kamzidi kete kwa kukataa posho! Anata na yeye aonekane bora
du uhu upupu unawawasha wengi mpaka mata*** kama wewe hapo chek unavyoangaika alafu umesimama mbele ya watu noma !
 
huyu ni dume,,majimshindo kama unamkumbuka...njia ya mwongo ni fupi
Mbona aliaga kuwa anaachana na JF?...aLISAHAU NINI HUMU HUYU?
Kama huyu ni Majimshindo ni aibu!...Alijiunga maalum kwaajili ya kumtetea Bwana Ally Hadaiwi, yule mmilikiwa Dowanzi!
Anatumika huyu!
 
Well Done Mbowe.... Thats what is called leading by EXAMPLE...., who's NEXT
An Ounce of Action is Worth More than a Ton of Theory
 
CCM wanapigwa bao saa sita mchana. Hivi hao wanaojiita vijana wa CCM hawasomi nyakati. Hizo facebook na twiter na dot com knowledge zinawasaiida kuwashauri wazeee wasojua ku bofya.

CCM shuld change before the change force them to change.
 
Mr. Mbowe!!
what you did is an advanced politics!!
unaiangalia Tanzania miaka ishirini ijayo jambo ambalo angalau mzee jk angelifanya siku ya kwanza tu alipokabidhiwa offisi!
USHAURI Wangu kwa JK!
Una kazi rahisi sana kumpiku Mbowe kwamba:-
Iangalie Tanzania miaka hamsini ijayo, utamtoa Mbowe ulingoni kwani:-
1. uwezo unao [wewe ni amiri jeshi mkuu na mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma, mbowe hana huo uwezo]
2. Upo kwenye chama chenye ushawishi nje ya mipaka ya Tanzania [chama cha Mbowe hakijafika huko]
3. Rasilimali unazo [TRA, bandari, reli, airports, minerals, tourism, arable land and a beautiful wife] - Mbowe hana hivyo vyote
WHAT YOU NEED IS COMMITMENT!

JK yupi unamwongelea???? Huyu huyu ninayemjua mimi au atakayefufuliwa kwa nguvu za Shekh Yahya Hussein (RIP) zilizozimikia Jangwani toka 2005??
 
Wewe kama ulikuwepo utakumbuka na kama hukuwepo kuna watu waliokuwepo toka hii Forum ilipokuwa Jambo kabla ya Jamii, wao watakumbusha. Au Brazameni anaweza kufufka akamwaga vitu hapa. Unanchekeshaa!

Wewe ulikuwepo?
 
nina mashaka na utendaji kazi wa ubongo wako inaonesha bongo zako zoote zime freez
 
Pinda aka mzee wa kulialia hakukataa gari wewe alisusa baada ya kudharauliwa kwa amri yake ya kusitisha ununuzi wa mashangingi kipotezewa na wazee wa procurement serikalini
 
Back
Top Bottom