Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Wakuu hebu nikumbusheni tena ni lini hili limewahi kutokea katika siasa za Tanzania?Mimi naona ungeandikwa muswaada (bipartisan)
Kwani bila hivyo tutakuwa tunawaingilia na ku-complicate kazi za wahasibu wa bunge kwani wao wana directives ambazo wanahitaji ku fulfill.
Mkuu hii si kweli hata kidogo unless kama kuna sababu nyingine ya msingi, sehemu nyingi tu za kazi siku hizi unaruhusiwa kunominate mpaka akaunti nne ya jinsi unakotaka mshahara wako unyambulishwe na kutawanywa huko. After all hili halifanyiki manually au kwa kichwa a simple spreadsheet can do this job better, fast and reliably.