Mbowe alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa

Huenda ukawa na hoja:
-Kwa nini hakwenda Arusha mojakwamoja kama alivyofanya Dr Slaa?
-Alitakiwa kujisalimisha polisi au mahakama iliyoamuru akamatwe?
-Mh Mbowe hajui sheria ya dhamana ikoje na inafanyaje kazi?
-Kwa nini hakuwasiliana na mdhamini wake juu ya kutohudhuria kwake mahakamani?
-Suala hili limekuzwa makusudi na dola pamoja na vyombo vya habari?

Kadiri siku zinavyoenda mbele napata wasiwasi na vyama vyote nchini hapa, I thought chadema wako smart kuliko ccm ndio lakini not to the level I expected, humu ndani wachangiaji wengi pro chadema wanongozwa na hisia tu, kila kitu against chadema wanasema crap! badala
-Anayejisalimisha anakamatwa kwa nguvu nyingi kiasi hiki?

Kadiri siku zinavyoenda mbele napata wasiwasi na vyama vyote nchini hapa, I thought chadema wako smart kuliko ccm ndio lakini not to the level I expected, humu ndani wachangiaji wengi pro chadema wanongozwa na hisia tu, kila kitu against chadema wanasema crap! badala ya kureason why it has been written that, sasa Mheshimiwa Mbowe kwa nn hakutokea mahakamani? labda wanasheria mtufahamishe hapo? waliomshika kwa kuidharau mahakama ni sawa ila the whole drama kama imekuzwa vile!
 
Akili za makalioni hizi!
 
mimi sidhani kama viongozi wa ngazi ya juu ya chadema wanahitaji umaarufu zaidi ya huu walionao,chadema kama chama kina umaarufu mkubwa na leo ukienda ndani vijiji ambako walikuwa wanajua nyerere ndo raisi wanamjua mbowe,slaa na wengineo.
CCM imedhoofika sana na ndo maana udhaifu wake unatumiwa na chadema kujiimarisha kitu ambacho ni muhimu kuimarisha demokrasia na kujenga upya utaifa na haki sawa kwa watanzania wote
 
Wewe kweli ****! Unaishia hapa JF hata husomi magazeti wala kusikiliza taarifa za habari za vyombo mbalimbali! Umeshaambiwa mara chungu nzima kwamba Mbowe alishatoa taarifa na alikuwa na kibali cha mahakama cha kuhudhuria vikao vya bunge. Ambaye hakutokea mahakamani ni mdhamini wake na hata mahakama imethibitisha hilo! Polisi waliamua wenyewe kutumia hizo gharama kubwa kumsafirisha Mbowe kwenda kubadilisha mdhamini! Jamani mbona kitu kidogo unashindwa kuelewa? Mwalimu wako wa awali alipata shida sana! Yaani wewe na yule polisi fulani hamna tofauti!
 
Nimejaribu kuangalia na kufikiria sana kinachoendelea katika siasa za Tanzania na hasa izi kampeni zisizo rasmi kati ya CCM na CDM.

Baada ya CCM kujivua gamba na viongozi wake kuanza kuzunguka mikoani ,hasa ile ambayo CHADEMA wameshapita na kufanya maandamano,kilichoendelea ni technique ya kisiasa kufanyika.Chadema inaonekana inanguvu na mbinu nyingi za kufanya siasa;baada ya CDM kufanya maandamano na kuona kuwa vyombo vingi vya habari haviripoti au kuandika habari za maandamano na mikutano yao ikaona kuwa njia bora ni kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa urahisi kabisa.

Mheshimiwa Mbowe alijua kabisa kuwa anahitajika kufika mahakamani na akatumia sheria za bunge kuona mahakama itafanya nini,wakati huo huo alijua kuwa vyombo vyote vya habari vitaandika na kulitaja jina lake kila wakati.

Hivyo ndivyo ilivyotokea,Mbowe alijisalimisha na polisi wakatumia gharama kubwa kumsafirisha,Mbowe akatawala vyombo vya habari kwa siku kadhaa,akashangiliwa mahakamani Arusha na ataingia kwenye Bunge la bajeti kama SHUJAA.

Hongera Mbowe na Hongereni CHADEMA

Siku njema.

Unatakiwa ukapimwe akili wewe,pengine unataka kua chizi.
 
nafikiri hii yote ni kwa kuwa waandishi na wahahriri wa vyombo vya habari huko Tanzania wamekumbwa na ushabiki. Hata leo nilikuwa napitia kwenye mtandao magazeti mengi ya huko wameandika kwa maandishi makubwa sana kuhusu Mbowe wakati kuna campain of reduction of maternal death aliyozinduliwa na Rais wenu,

hakika hiyo kampeni ya kuzuia vifo vya kina mama na watoto ni issue kubwa sana na ya kitaifa na ni muhimu kuijulisha jamii. lakini wahariri wenu wameipa uzito mdogo sana kwenye magazeti machache ya huko niliyoyapitia.

Poleni sana watanzania kwa kuwavumilia hawa wahahriri kuvunja sheria za kupata habari.
 
Tatizo so kutafuta umaarufu, Shida iko kwa yule aliyempa umaarufu. Hakujuaaaaaa?
 
Tulizoea siasa za chama kimoja duh kumbe hizi za vyama vingi zina mahesabu yake- zinahitaji kufikiri kwa kutumia ubongo na si viungo vingine vya mwili ......aiseeee aiseeee aiseeeee :becky:
 
Back
Top Bottom