Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

kuna watu wengne wanachelewa sana kukua kama miti. hasa wanaoleta siasa kila muda.
 
Pro-Chadema walivyokuwa wanafiki wataanza kumpa pole Mbowe leo.

Kamanda Mbowe tunampa pole kwa kufiwa na dada yake, pia tunamwombea Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Mungu ampumzishe Grace Mbowe mahali panapostahili.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ibada ya kumwaga Grace itafanyika siku ya Alhamisi saa 4 asubuhi, katika kanisa la KKKT Wazo Hill, na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa, Machame, Kilimanjaro.
 
Nina hakika unatania kwa sababu unajua hata kubadilisha tiketi ya ndege siyo rahisi ki hivyo. Tatizo la JF mnafanya utani hata kwenye mambo ambayo hayahitaji utani. Wakati mwingine ebu jipime kama hali hiyo ingekuwa imekupata wewe, ungefurahia matani ya jinsi hiyo. It is unfortunate na pia utoto.

Ni ushamba tu unamsumbua huyo
 
Mungu ampumzishe panapostahili dada wa mwenyekiti wetu.

Abdallah Bulembo atahudhuria?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums[/QUOT

Atakuwepo chemical ali mzee wa sumu kali ( ben saa nanee)
 
Kuna wana CHADEMA walidai kuwa huyo mama hana undugu na Mbowe.

Wadau wenyewe ni hawa: Mungi, Arushaone, Crashwise.

Mkuu nliskia Mbowe ni koba (mtoto wa nie ya ndoa) wa Nyerere..... Sijui lakini..
 
Mwenyekiti Mbowe mara Nyingi Misiba ya watu wake wa Karibu humkuta Nje ya Nchi, Msiba wa huyu dada yake aliehamia CCM hivi karibuni kwa Ajali ya Gari unafanana na msiba wa Chacha aliepata Ajali wakati Pia akiwa nje ya Nchi.Pole Freeman Mbowe!
 
Pole kamanda! Mungu ailaze roho ya marehemu dada wa Kamanda Mbowe mahali pema peponi, Amina!
 
Kama una uchungu na ndugu yako siku hiyo hiyo ya msiba unapanda ndege kurudi nyumbani haraka.

I doubt his relation with the family

Watu wanafiwa na wazazi wanasubirisha maiti na kumalizia tukio muhimu halafu wanarudi zika....naona siku hizi imefikia mahali sasa wazima wanaamua kuwa wafu nao.....

Pamoja na kuhitajika heshimu wenzetu wakitutoka...linapokuja suala endelevu litakalosaidia walio hai ..hakuna haja ya huu unafiki unless unakuja dai urithi au mchawi anayetaka cehza na maiti.
 
Nina hakika unatania kwa sababu unajua hata kubadilisha tiketi ya ndege siyo rahisi ki hivyo. Tatizo la JF mnafanya utani hata kwenye mambo ambayo hayahitaji utani. Wakati mwingine ebu jipime kama hali hiyo ingekuwa imekupata wewe, ungefurahia matani ya jinsi hiyo. It is unfortunate na pia utoto.

mkuu umenena vema, watu wengine wanajiona wajanja kuongea upuuz
 
Pole sana Mh. Freeman Mbowe. Mungu wa huruma na rehema akupe nguvu na uvumilivu wa kuhimili msiba huu wa ghafla wa Dadako. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe.
 
Inaonekana vichaa waliopo hospitalini ni wachache kuliko tulio nao mitaani. Huyu naye atakuwa ana akili timamu kabisa? Au anadhani ndege ni daladala ambayo ukijisikia tu kwa vile una nauli mfukoni unarukia tu wkati wowote!

Kama una uchungu na ndugu yako siku hiyo hiyo ya msiba unapanda ndege kurudi nyumbani haraka.

I doubt his relation with the family
 
Kama una uchungu na ndugu yako siku hiyo hiyo ya msiba unapanda ndege kurudi nyumbani haraka.

I doubt his relation with the family

Khaa!! Ha ha ha JF raha sana, ukiwa na hasira,msongo wewe ingia humu utacheka upasuke.
 
Nina hakika unatania kwa sababu unajua hata kubadilisha tiketi ya ndege siyo rahisi ki hivyo. Tatizo la JF mnafanya utani hata kwenye mambo ambayo hayahitaji utani. Wakati mwingine ebu jipime kama hali hiyo ingekuwa imekupata wewe, ungefurahia matani ya jinsi hiyo. It is unfortunate na pia utoto.

Wengine ni mateja humu wasamehe
 
Back
Top Bottom