Elections 2010 Mbowe afukuzwa jimboni mwake

Status
Not open for further replies.
Masaa 72 count down jamaa mmoja ajulikanaye kwa jina la Chukulubu Chekacheka Manento atadondokea pua.
 
WanaJF:

Habari nilizopata sasa hivi kutoka jimbo la Hai ni kwamba Mbowe amefukuzwa jimboni humo na wafuasi wake WanaChadema. Wamemwambia aondoke aende kumsaidia Dr Slaa na wengine katika kampeni zao, kwani humo jimboni mwake Hai, kishamaliza kazi -- watampa kura 100%.
Marksman, nawasiliana na wanasheria wangu ili nikudai Bilioni 4 kama fidia kwa kupandisha BP yangu hadi 2010/1961 kwa hii heading yako. Loh!
Hata hivyo habari yenyewe ni njema sana.
 
Unafaa kuwa mwandishi wa habari wa magazeti ya Udaku! Maana heading hii kidogo initoe jasho. But keep it up and make sure all of u vote for the better Tanzania of tomorrow

umenikopi mkuu:smile-big:
 
Hahhaahahaha dah hata mm nilishtuka sana hapo kweli bora amsaidie dr achukue nchi
 
aiseeeeee,unajua kuvutia watu wasome habari zako kweli mkuu,asante sana lakini ila duh
 
Kaka una maanisha Slaa yupi? maana kuna Slaa wa CCM Karatu na inasemekana hajaanza kampeni mpaka sasa, sijui anasubiri nini. Inawezekana wanasubiri kuiba kura za Natse wa CHADEMA kwa kisingizio kuwa wapiga kura wamejichanganya.

Kaka nilikuwa ninamaanisha Natse. Ninafanya kazi karatu ila kwa sasa niko likizo Moshi.
Kuenzi mchango wa Dr Slaa, huko Karatu, Natse anatambulika zaidi kama Wilbrod Slaa. Nadhani CCM wanategemea wapiga kura wakajichanganye kwenye majina ndio wakamsimamisha huyo Slaa wao.
 
Duuuu, hii post nimeiona tangu asubuhi nikawa naivizia kuiangalia kuepuka mshtuko wa moyo.. lakini nikajipa
moyo kuwa ni uzushi na ndipo nikaifungua mchana huu !!! Duuuuu !!!

OK - Mambo level sasa !!!!!!
 
Naam,

kwamba amefukuzwa hilo halijathibitika, lakini nimepiga simu nimeambia ushindi wake ni kama kuua tembo kwa kutumia bua. hofu yangu ni kwamba akiwa hayuko karibu fitina za kisiasa ni rahisi sana kupikwa na kusambaa haraka akajikuta amekosa mwana na maji ya moto.

asiondoke, time mbaya hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom