Mbowe admits failure to declare assets

Mbowe hana chochote amejisahau mali zote ni za familia,sasa aandike nini kama familia yake ikikataa asiandike chochote katika mali za familia,hayo maringo yote sababu baba yake mzazi alitengeneza mazingira ya pesa tangu enzi ya mkoloni,na hii ni habari ya uhakika Mbowe ni mtoto wa geti kali kila kitu alitafuta mzee wake yeye hana chake labda gari lake la kutembelea na hiyo mikataba ya Hoteli za baba yake hata clu bilicanas siyo yake ,kabadili jina tu ilikuwa Mbowe Hoteli,mali zao ni kama za akina Sykes Bomani na wengineo wazee waliotafuta uhuru wa nji hii.
 
wapambe cdm siku hizi nimestukia huwa hawachangamkii thread kama hizi. wanawaachia magamba wabwabwaje then thread inakufa. by the way nami ngoja niendelee na kazi sina muda wa kupoteza. pepoooz.
 
"nimeshindwa kujaza fomu zakutangaza mali zangu kwasababu ya msongo wa mawazo" jamani huyu Aluatani hapa kaniboa siasa imemlewesha au ndo woga umemuingia baada ya kuwekwa kizuizini? Au anaumwa Zittophibiasis? Maana nae alianza hivihivi.

Kazi unayo........, lkn wanakulipa au unajipendekeza tu.
 
Back
Top Bottom