uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,816
- 26,870
Alikuuza shilingi ngapi?. Ina maana lowassa alikununua kwa matumizi gani?
Nitag akijibu
Alikuuza shilingi ngapi?. Ina maana lowassa alikununua kwa matumizi gani?
Chadema imekufa nilikuwa naandika hapa mara kadhaa sasa hadharani, maalim seif CUF ilikufa kama hivi lakini Maalim Seif ni mtaalamu alitumia dakika 10 tu kutangaza namna kuwahami wanachama wake na taasisi sasa ACT ishaota mizizi Zanzibar
Mbowe alibadili gia angani kumleta Lowasa Chadema halafu wakati huohuo akawa anashirikiana na akina Mwigulu kwa kutumwa na JK kumhujumu Lowasa.
Kiufupi alikuwa anacheza double game!
BRIGHT KWENYE MASLAHI.MBOWE NI WALEWALE CCM YY ZITO NA LIPUMBA MAMA MMOJA.
Hii kitu iliniondoa chadema, na tangu hapo sijaangalia nyuma. Ni heri kubaki bila chama kuliko kusalitiwa.Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi.
Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka.
Alipotoka jela kule kabla hajaoga alipita Ikulu kwanza sasa unategemea nini
TANGIA GIA ANGANI SIMWAMINI NI NDUMILAKUWILI
Chadema hivi sasa kuna mpasuko au mchaniko?
Maana mnyukano wa mipasho ya maneno uko moto halafu wanajuana vizuri mno,
kule diaspora wa America, huku diaspora wa Europe, huku kibaraka na kundi lake, kule makapuku 😜
Hilo ni kweli kabisa.
Hilo liko wazi mwenyekiti ni mwenzetu
Mpasuko ndani ya chama heri niendelee kusimama na mama
Tuwape nchi nyie mlivyo na njaa kali miaka mitatu ya mwanzo mapato ya serikali yatatumika kukijenga chama kiuchumi
sana,Naona CHADEMA inakuumiza Sana. Mara kuna mpasuko mara imekufa nk. CHADEMA ilimchanganya Magufuli mpaka akafa. Sembuse wewe .
Siku mkigundua chadema ni taasisi ya wezi mtakua mmechelewa.
Mpigeni mawe afe huyo gaidiNaona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu.
Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi.
Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka.
Leo hii umetusaliti kwa kulamba asali.
Hata sakata la Bandari aliyekomaa sana ni Lissu. Wewe hamna. Wewe ni msalitu bana.
sana,
sio siri naumia mno kuyakosa maigizo yao, Piiiiipoooozziiiiii😂
Kuna lile igizo la No fear No hate 😜
eti watetezi wa wanyonge kumbe bana ni watetezi wa matonge 😂
Punguza Jazba utapasuka bureeee Achana na Kamanda sio level yakoNaona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu.
Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi.
Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka.
Leo hii umetusaliti kwa kulamba asali.
Hata sakata la Bandari aliyekomaa sana ni Lissu. Wewe hamna. Wewe ni msalitu bana.
Report ya Chadema inasemaje?Naona unajichekesha, huku ukijua mwizi ni nani. CCM inekamata halmashauri zote, ila ripoti ya CAG inabaini wizi kila siku. Waziri mkuu kila akienda kwenye halmashauri ni upigaji tu.