Mbona Wanawake siwaelewi!

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu waungwana?ni hivi leo nitaanza na hadithi kabla ya kuuliza swali
Hadithi x2,hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
Hapo zamani za kale kulikuwa na babu mmoja na ngamia wake pamoja mtoto wake wa kiume,yule mzee alimuambia mwanawe ya kwamba binadamu hawakosi cha kusema hivi tunavyotembea utawasikisia tu wakisema na walikuwa wanatembea kwa miguu bila kumpanda yule Ngamia ndipo walipofika ktk kijiji cha kwanza watu wakawashangaa kwann hawampandi yule ngamia?
Baba akamuambia mwanawe umesikia?sasa mimi nampanda wewe tembea kwa miguu
Walipofika kijiji cha pili,watu wakaanza kuongea ya kwamba yule mzee ana roho mbaya kwann kampanda ngamia na kumuacha mtoto wake akitembea kwa miguu?
Ndipo mzee aliposhuka na kumuambia mwanawe,unasikia wanavyoongea?panda wewe ngamia mie nitaenda kwa miguu
Walipofika kijiji cha 3,watu wakaanza kuongea kuwa yule mtoto hana adabu kwann ampande ngamia amuache baba yake akitembea kwa miguu?
Lengo la kutoa hadithi hii ni kwamba binafsi mademu wananichanganya
1.Ukimchakachua sana analalamika,mara oh nimechoka kila cku huchoki tu
2.Ukimchakachua kidogo anasema una nyumba ndogo
3.Usipomchakachua kabisa full vikao
Kwani tatizo liko wapi?
Naomba mnisaidie
 
Hata wewe sikuelewi na thread yako!Siumuulize huyo aliyeleta hayo madai!
 
Hata wewe sikuelewi na thread yako!Siumuulize huyo aliyeleta hayo madai!
sio kwa mwanamke mmoja ambaye amelalamika hivi ni wanawake na ndio maana nikauliza kwa ujumla ili kutaka kujua,hili suala linatokana na nini au ni mapozi tu
 
Kuchakachua mwanamke maana yake ni nini???????????
 
Back
Top Bottom