Mbona mi cpendwi?

Nimejitahidi kila hali kumtafuta mwenza bt cpati,nime2mia kila aina ya ujanja wangu lkn cjafanyikiwa,najiona mtanashati mzuri lkn cjui ni kwa nini wanawake hawanitaki,nisaidieni jamani.

bora we hupendwi! me sipendi nimejitahdi kweli kupenda kila ninapopendwa lakini wala sipendi.naishiatu kuwatia watu presha.
 
usiwe na haraka kila kitu na wakati wake.mamabo mazuri hayahitaji haraka
 
Kaka usijikweze, subiri ukwezwe! hapo nadhani ndio unakosea, jishushe, sometimes toa hata chozi na kubali pia kushindwa!!!!
 
mi nathan bdo huja2mia maujanja yote ka vp kagonge mabia mawili uone utakavyotapika maneno mpaka demu anakumis ucpokuwepo lakin pia unaweza ku2lia ndege wako yupo njian utamnasa kiulaiin,2lia kijana
 
Inategemea unataka kupendwa na nani na ili iweje,otherwise usijekuta unataka kupendwa ovyo!
Anyways,take it easy,ukipata wa kupenda utaongea tu,na yeye akikupenda basi mtakuwa mmependana.Angalia usijetaka kupendwa halafu usipende pia,wataumia kama wewe unavyoumia sasa hivi kwa kutokupenda.Usipoelewa nitafute nikupe mbinu
 
hiyo inatokana na wewe mwenyewe kutojifahamu na ndio maana unafuata kila mwanamke aliye mbele yako kuna msemo usemao"si kila mwanamke anamfaa kila mwanume na si kila mwanaume anamfaa kila mwanamke, analyse yourself first before puting prioty of what type woman fits you otherwise utaendelea kuahangaika na si ajabu ukapata mtu ambaye utajajilaumu baadaye::majani7:
 
Du ! Mapenzi shule bro tia asali huo ulimi, hawa warembo wetu wanahitaji nyama ya ulimi na ukauzu kiaina huenda unaact ka mchungaji, mstaarabu dizaini za kujifanya unajiheshimu saana.
 
Back
Top Bottom