Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!