Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,774
- 35,192
Sheikh kuwa mkweli... checkpoints ni kwa ajili ya usalama tu...hata huku bara hizo checkpoints zipo.Watu tunaishi kama tuko kwenye open-air prison (check-points kila 5km) halafu unakuja na hoja za vitunguu ? Hata Palestine chini ya Israel hawana checkpoints nyingi kama Zanzibar.