Mbona haniombi kitu?

Zinduka wewe huyo mpenzi wako ana kazi au shughuli yoyote inayomwingizia kipato?
Je! anaishi kwake au kwa wazazi au ndugu?

Kama ana kipato cha ziada hapo sawa hana shida na visenti vyako anauhitaji muhogo wako zaidi.
Kama hana kazi yoyote basi shituka kuna mtu anamtimizia mahitaji kwako yuko kimapenzi zaidi, labda yule alienae hampi shughuli pevu hivyo anaipata kwako.Tafakari Chukua Hatua.

Hapana.mi naona hata kama ana vijisent vya kutosha bado si sababu ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kushindwa kununua chochote jamani mie naona imekaa vibaya
 
Duh, wakitegeana unyumba utakuwa ndo mwanzo wa kupata jibu la hili swali alilouliza na yale yaliyojificha kwenye roho...kuna watu wakinyimwa wanaongea wewe...ohooooooooo!!

Dearest by the time anapata jibu kila mmoja atakua amezira kivyake na ndio mwanzo wa ndoa kuwa chachu badala ya kuwa tamu.
 
Mtafutie zawadi nzuri umpelekee.
Labda ana kuhurumia kutokana na kipato chako,...
au anapima aone kama ni mtoaji au vipi.
We nae hata zawadi ndogo ndogo tu hujiongezi jamani?
 
Since you have realised this, next time you plan to meet buy her a bouquate of RED ROSES. She must be a woman of class. Never leave her she will be your valantine for ever.
 
Mkuu huyo mpenz wako kabila gani?nataka ni note kitu kwani hata mimi demu wangu yupo hivyo hivyo ndo mana nikavutika kuisoma hii thread.
 
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?

Kumpa kitu kama mlezi au kama mpenzi? maana kama mlezi ni kuwa anakufanya kama wewe ndio kazi yake for living...no you dont need to do that.Ila kama mpenzi miaka miwili unahitaji ku mtreat angalau na diner au zawadi fulani,kwa mahusiano zawadi hata ndogo ambayo haihitaji uwe na pesa nyingi ni muhimu sana...inaonyesha kitu ambacho nadhani waliowahi pokea zawadi huweza elezea.
 
Mkishakuwa katika ndoa itakuwa Mizinga sio kupeana tena.Na kitandani Msipeane.
 
wewe ngoja demu aanze: dear wikiend hii naomba elfu 50 za voucher niongee na mama nimemmiss kweli, laki mbili nikatengeneze nywele zangu saluni kwa ajili ya send-off ya rafiki yangu, laki nane za ada ya mdogo wangu maana shule ndo zimefunguliwa, kodi ya nyumba million 2.5 maana mwezi ujao kodi yangu inaisha and all that jazz, jamaa mtamuona anarudi hapa mbio mwenyewe kuomba counter-advice...
 
asikudanganye mtu huyo binti anaupendo wa dhati kabisa na ukimuacha utajuta siku zote za maisha yako
 
Aisee jiangalie kijana ubahili huo utakugharimu...mwanamke awe vyovyote alivyo,hata kama akijitosheleza vipi lakini anahitaji kujisikia kuna mtu anamjali hasa hasa akiwa mpenzi wake,jamani hata zawadi ya leso inakushinda???ningekuwa mimi ningeshakutema siku nyingi sana ingebaki historia,halafu ujue manaume ukiwa bahili hata mvuto unapoteza.
 
Jamani mi mpenz wangu halikuwa hata hanipi hata vocha na wala sikuwai kumwambia kitu, bt nikawa najiuliza huyu mwanaume ameumbwaje hata vocha jaman? So was just testing him, bt eventualy akagundua hilo and nw ananipa hata nisiyoyataraji so pls show ua manism in u.

Huna kazi wewe mkuu?
 
Wengine hatujui kuomba.
inategemea lakini kama mwanamke unamshahara haina haja ya kuomba, ukiomba itakuwa tamaa kidogo: ila kama huna source yoyote hata mimi mwanaume nisipokupa nitakuwa namatatizo kidogo
 
i had a girl like this before, she never requested for single pen, one day i give her some money mambo ikawa mbaya,
 
Back
Top Bottom