labda anakuona pochi alolo ndo mana hakuombi maana anajua asije akalianzisha halafu wewe ukaendelezaZinduka wewe huyo mpenzi wako ana kazi au shughuli yoyote inayomwingizia kipato?
Je! anaishi kwake au kwa wazazi au ndugu?
Kama ana kipato cha ziada hapo sawa hana shida na visenti vyako anauhitaji muhogo wako zaidi.
Kama hana kazi yoyote basi shituka kuna mtu anamtimizia mahitaji kwako yuko kimapenzi zaidi, labda yule alienae hampi shughuli pevu hivyo anaipata kwako.Tafakari Chukua Hatua.