Mboga/Kitoweo ni changamoto sana, kuna fursa kubwa sana hapa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake.

Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo either hakipatikani au ni ghali sana.

Mboga ni ghali sana kwa sasa, hasa hizo Samaki, Nyama na hata Dagaa, na nadhani population ni tatizo pia.

Tunahitaji sana kuwekeza kwenye vitoweo hasa vitoweo kwa ajili ya lower class huku, kule Mboga saba hawawazi vitoweo kwanza kitoweo kwao ni chakula.

Supply ya Dagaa na Samaki kutoka Ziwa Victoria ni kama inaenda inakata kabisa.

Tunahitajika kuwekeza sasa kwenye mbadala hasa kuku na mifugo mingine kama Mbuzi, Kware, Samaki na baadhi ya wadudu ili kuendana na uhaba wa kitoweo kwa jamii.
 
Dagaa, perege, majani, maharagwe hizi mboga zipewe hadhi ya kitaifa nchi Tanzania Bara ikibidi ziidhinishwe ktk KATIBA MPYA ijayo mwakani😃😃

Mboga hizo zimekuza watu ila wakipata pesa ukubwani wanazikashfu
 
SIDI WATANZANUA NI VILAZA NO 1. DUNIANI.
MNISAMEHE KWA LUGHA KALI.
TANZANIA INA MAZIWA MAKUU DUNIANI UKIONFOA NCHI ZILIZOUNGANA KAMA USA.
TANGANYIKA
VICTORIA
NYASA
RUKWA
EYASI
NATRON
SINGIDA
NGOZI
MASOKO
KISIBA
KUNA SWAMPS MAENEO YA TABORA MPAKA KIGOMA, IRINGA, MBEYA. SIJAJUA MIKOA MINGINE.
KUNA MABWAWA KAMA MINDU, SONGWE, KIBENA NILIYOYAONA SIJAJUA MIKOA MINGINE
KUNA MITO. NADHANI AFRICA TUNAONGOZA KWA ILE JIOGRAGIA YA F4.
PANGANI
RUVU
KAGERA
MALAGARASI
UGALA
SONGWE
KIWIRA
KILOMBERO
RUHUJI
RUVUMA
NK
KUNA STREAM TRIBUTARIES
NJOMBE
MOROGOTO
MBEYA
KILIMANJARO
NK.
KUNA BABA LAO INFIAN OCEAN
TANGA
PWANI
DAR
MTWARA.
MABONDE YA MIPUNGA YOTE YANAKUSANYA MAJI NA KUFAA KUFUGA SEASONAL FISHERY.
WITH ALL THESE WATER SOURCES WE ARE FUCKED UP WITH LACK OF PROTIN FROM FISHES.
ETI TUNA DUMAA KWA LISHE HAFIFU.
SIJAONGELEA MIMEA YA JAMII YA MIKUNDE
KUKU, MBUZI, NG'OMBE.
KAMA KWELI WAAFRIKA WALILANIWA NADHANI WATANZANIA NDIPO LAANA ILIPODONDOKEA.
 
Mkuu , Matatizo ni yale yale tuliyosoma shule

  • Lack of equipments
  • Poor Technology
  • Lack Of capital
  • Poor government Support
  • Poor Infrastructure
  • Poor Techniques
  • Poor Storage facilities

Na mengine mengi sana.
 
Na mengine mengi s

Tunaongeza na Poor mental health
 
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake.

Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo either hakipatikani au ni ghali sana.

Mboga ni ghali sana kwa sasa, hasa hizo Samaki, Nyama na hata Dagaa, na nadhani population ni tatizo pia.

Tunahitaji sana kuwekeza kwenye vitoweo hasa vitoweo kwa ajili ya lower class huku, kule Mboga saba hawawazi vitoweo kwanza kitoweo kwao ni chakula.

Supply ya Dagaa na Samaki kutoka Ziwa Victoria ni kama inaenda inakata kabisa.

Tunahitajika kuwekeza sasa kwenye mbadala hasa kuku na mifugo mingine kama Mbuzi, Kware, Samaki na baadhi ya wadudu ili kuendana na uhaba wa kitoweo kwa jamii.
Bonge la uzi, huu uzi nautunuku kuwa uzi bora wa mwezi huu wa 12.
 
Back
Top Bottom