Mboga itakayomwagwa na mapacha (RACHEL) ni Gavana Daudi Balali

Mimi naona kale kasheria kamakosa ya mtandao,kakianza kutumika wengi watafungwa,huku,
 
So what hata kama balali yuko
hai.watu humu kwa kujipa matumaini hewa hawajambo.öoh,mara lowasa ni kiboko,ooh atamwaga mrenda WAPI?
Kwa ufupi jamaa ndo alitakiwa kuwa next prez lakni amekaa kimya hadi propaganda juu
yake zikawa kweli
UWAPI UMAHIRI WAKE KISIASA?

Mkuu,unaupenda mlenda ee??:D
 
kazi ipo kwako..am a member for a year now! hata hivyo acha kupindisha thread..changia km mtu mzima siyo kama zezeta! kama hauna la kuandika soma kisha ondoka zako..nyie ndio mnaojifanya km ccm..oh sisi tulikuwepo tangu uhuru..hivvi vya juzi tu..Jenga hoja,acha upunguani! HATA BIBLE KWNY MHUBIRI inasema heri kijana maskini mwerevu kuliko mfalme mzee mpumbavu,! FICHA UPUMBAVU WAKO!

Mmmmhh mmefika huko mara hii!!?
 
Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili kuficha skendo nyingi za EPA ikiwemo KAGODA ambayo inadaiwa ilimuingiza ikulu mkuu wa kaya na chama. Duru zinatonya kuwa Balali yupo hai akiwa anaranda na mask ya sura nyingine.Imepangwa HIVI wakitimuliwa,'atafufuliwa' na kuweka wazi kila kitu.

MMMH HIVi kwa nini MAZISHI,KABURI lake etc yalikuwa siri?..TAFAKARI!

kwa kizungu hii inaitwa BLACKMAIL

dah, taifa liingie hasara ya kuwa na rais asiyefaa kwa miaka 10 ili tu kutuza siri za huyo dr. balali? aisee, urais wa nchi hii unapatikana kwa bei chee sana

halafu na yeye akishika nchi litatokea lijamaa linasema ili nisizitoe hizi siri au makaratasi haya hakikisha nakuwa rais baada ya wewe. ndo ndo utakuwa hivo - 'blackmail'

ndo shida ya kua na rais mwenye 'madili dili' mengi,
 
Siku Lowasa atakapohitilafiana na Kikwete/CCM kikwelikweli;patakuwa hapatoshi bongo hapa patachimbika zaidi ya ft elfu ishirini kwenda chini!

Usicheze na dola kaka, wako wapi kina Prof Malima, Kolimba? Akihitilafiana na Kikwete maana yake amehitilafiana na system
 
Ni wakati wa kumpa heshima rais wetu kwa kazi iliyoifanya ndani ya miaka 10, hakuna sababu ya kumpaka matope
 
Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili kuficha skendo nyingi za EPA ikiwemo KAGODA ambayo inadaiwa ilimuingiza ikulu mkuu wa kaya na chama. Duru zinatonya kuwa Balali yupo hai akiwa anaranda na mask ya sura nyingine.Imepangwa HIVI wakitimuliwa,'atafufuliwa' na kuweka wazi kila kitu.

MMMH HIVi kwa nini MAZISHI,KABURI lake etc yalikuwa siri?..TAFAKARI!
Nioioita kwa D Balali maeneo ya Mafinga mwaka jana aisee pamechoka hatari. Yaan kama nyumba iliyohamwa..angekua hai kungekuwepo na hata ka ahueni kidogo....au waliamua kufreez kila kitu chake
 
Back
Top Bottom